I hope haya madai ni ya kweli. Najua Watanzania tuna longo longo nyingi sana hasa tunapoambiwa tuchape kazi.
Kuna jamaa yangu baada ya kuacha kazi Europe ili akasaidie nyumbani, alikumbana na barua hizo mpaka kidogo afaunge safari kugeuza. Jamaa alikuwa anatolewa magazetini mpaka unajiuliza mara kumi, kweli huyu ndiye jamaa ninayemfahamu?
Inawezekana haya madai ni kweli lakini wahusika inabidi wawe macho sana maana unaweza jikuta barua kama hizi zinatawaliwa na fitina, majungu na watu wasio taka kuwajibika.
Hii barua nadhani haijakaa sawa...............there is something mwandishi anaficha
Mwandishi ameandika
1. Ubaya wa Hosea kuzungumzia private life ya watu wengine......wakati na yeye kaandika kuhusu private life ya Hosea.
Hosea amekuwa mkurugenzi wa uchunguzi (then TAKURU) kwa muda mrefu, kama hakufanya kazi nzuri, sidhani kama jina lake lingepita Ikulu
kama kawaida ktk idara zingine, kiongozi mpya akiingia huunda team yake ambayo huamini itamsaidia vema kufanikisha malengo...............nafahamu restructuring aliyoifanya Hosea.......imewakwaza watu wengi sana.
Mwandishi kama ulivyoweka hiyo barua pia hebu tuwekee hiyo picha ya Hekalu la Hosea basi ili nasi hapa JF tuione for further comments
Mwandishi unaposema..........only 200,000 kwa ajili ya oc.....wengine hatujui hiyo ndio nini hebu fafanua
mambo mengine yaliyoandikwa ni very difficult ku-substantiate...........i mean we need more
Ohh poor Tanzania,
Lakini kitovu ni nini hasa?"Like father,like son",so goes the saying,kama JK mwenyewe ni msanii tosha kabisa,na ongezea hapa kuwa huyu Hosea mwenyewe ndo alitumika kummaliza Sumaye back then (the rest is history),so what we're witnessing now ni matokeo ya watu kutafuta madaraka kwa udi na uvumba ndani ya sisiemu,hivyo wanaamua kupay back ofisis za umma kwa marafiki waliowawezesha kuingia pale Magogoni.Kiini ni usanii wa JK,if at all JK had been a serious man even for a second in all his life time,perhaps things would have shown some significant sings of seriousness but as long as he ramins the way he is...ohh I pity Tanzania,sanasana tutazidi kusikia kashfa juu ya kashfa...by the way huyu bwana Hosea nasikia ni Msabato...
Kama mkuu wa kukamata RUSHWA naye ni mla RUSHWA tusitegemea neema ya MUNGU kuwa TZ inaweza kuwa rushwa-free.
wuiiiiiiiiiii jamani nafaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
Kadiri makombora yanavyozidi kutokeza ndivyo watu mnazidi kuchoka. Sasa si balaa hili? Kuujua ukweli kutamu sana, unakuwa tajiri wa habari. Tatizo ukweli wenyewe ukiwa unauma ndiyo balaa. Tulikuwa tunalilia kuyajua hasa matatizo ya watanzania, kwa sasa yanakuja kwa kasi ya ajabu tena waziwazi.
Ahsante kwa Teknolojia, maana watu wako huru sasa! Barua kama hii ingepatikana baada ya muda mrefu sana (miaka) lakini sasa inadadavuliwa na wadau mapema tu.
Haya, you shall know the truth which will set you free. Freedom of speech