kinepi_nepi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 869
- 239
Ni kweli TAKUKURU ni kimbilio la mafisadi kwani ndio wanaoficha siri za mafisadi na kuuwa upelelezi pale fisadi anapotakiwa kupelekwa mahakamani.Mkuu,
Sasa umeanza kuiita TAKUKURU kimbilio la mafisadi kwa facts zipi?
badala ya kuwashauri watanzania wenye ushahidi kuwasiliana na polisi au TAKUKURU wewe unaanza kutumia jambo la RA kwenda TAKUKURU kuifanya taasisi yote ionekane ya kifisadi?
Inaelekea hapa JF tumechanganyikiwa hata hatujui nini tunataka, hatuna msimamo mmoja unaoeleweka, tunayumba, tunatapatapa kwa kuangalia mhusika ni nani.
RA katumia haki yake kama Mtanzania mwingine, muhimu ni kuwashauri wengine wenye habari kuhusu uhalifu kuweza kuzifikisha kwenye vyombo vyetu vya usalama.
Huwezi kumlazimisha mtu aende sehemu unayotaka wewe, mtu anaweza kwenda polisi, anaweza kwenda vyombo vya habari ili viandike, anaweza kwenda mahakamani, anaweza kwenda TAKUKURU.
Kitu ambacho hutakiwi kufanya ni kuilamu taasisi yote kama TAKUKURU kwamba ni kimbilio la mafisadi. Je wale walioko mahakani baada ya kupelekwa na TAKUKURU sio mafisadi?
Ndio TAKUKURU wana matatizo na wanatakiwa kuongeza ufanisi na kupunguza kuwa tegemezi sana kwa serikali, lakini hiyo sio sababu ya kuwaita TAKUKURU kimbilio la mafisadi.
Sio kila case unaweza kupeleka mahakamani. RA anaweza kwenda mahakamani kumshitaki Mengi kwa kumkashifu lakini hawezi kwenda mahakani kumshitaki Mengi kwa kuiibia NICO au mabank. Hiyo ni kazi ya serikali kama sikosei.
Hawa jamaa watoe ushahidi walio nao ili tuwajue vizuri hawa papa na Nyangumi bila kujali ni Mengi au RA.
Tatizo la watu wengi hapa ni double standards, kama Mengi amekosea sio fisadi, kama RA ni fisadi. Hawa wote mapapa na Nyangumi ni mzigo kwa Tanzania. List haiishii hapo, wako wengi mno. Wakiumbuana ndio faida kwa sisi wananchi.
Watanzania bana mnanichosha sana sijui uvivu wa kufikiri na kung'amua mambo? Huyu papa katumia haki ya msingi na ya kikatiba amepeleka vielelezo vyake vya kumtuhumu Mengi sasa na Mengi nae ana haki ya kutumia haki ya msingi kupeleka ushahidi wake kama anao wa kumtuhumu RA apeleke mahala husika kama alivyo fanya huyu papa.
Mkuu wewe ulitaka apeleke wapi?
Wanamkimbilia mwokozi wao Hosea na ndio maana wanamlinda kwa gharama yoyote asiondolewe TAKUKURU.
You seem to be out of Tanzania tunayoijua Pamoja na TAKUKURU ambayo tukiweka post zako hapa ulizowahi kuilalamikia TAKUKURU na HOSEA utatia aibu !!! na Ndicho kinachowafanya Watanzania wasiopenda UFISADI wahoji kwa nini RA apeleke huko na kwa nini asiende mahakamani kumshitaki Mengi !!! ???? Ili Mengi aje na ushaidi huko mahakamani!!! mahakamani ni openly na wananchi wanaruhusiwa kusikiliza lakini huko alikopeleka wanafanya ni siri na mwisho wa siku wanaibuka na report za kuwashafisha Mafisadi kama walivyofanya kwenye Richmond na sehemu nyingi tu. Hapo ndipo hoja ilipo, elewa kuwa hakuna anayepinga Mengi asipeleke ushaidi, kinachopingwa ni wapi pa kupeleka .
hivi tatizo ni HOSEA AU MUUNDO WA TAKUKURU...???Wanamkimbilia mwokozi wao Hosea na ndio maana wanamlinda kwa gharama yoyote asiondolewe TAKUKURU.
Wajinga kama wewe ndio wanawafanya Watanzania waendelee kuwa wajinga, washindwe kuhoji hata mambo ya maana kwa kuhofia kupachikwa maneno.. Una hisa New Habari Cooperation? Mbona unaelezwa lakini huelewi? Usiwe kama Jackton Manyerere, unaambiwa Takukuru ndiyo iliyosafisha mafisadi wa Richmond na kwamba bila ya jitihada za Kamati ya Bunge ufisadi huu ungepeta, iweje leo Takukuru hiyohiyo iwachunguze tena wahusika walewale iliyokwishawasafisha?
Mkuu umesahau tamko la Hosea lililo jaa mbwembwe kwamba RICHMONDI safiiiiiiiiii... ???
Hivi imani itoke wapi?na fact zipi unazitaka zaidi ya uumbukaji wa taasisi ile? baada ya kamati ya bunge kuanika kila kitu?
Kwa taarifa yako, toka wakati ule ile TAKUKURU ilipoteza kabisa credibility machoni petu wananchi, na Kibaya zaidi huyo bosi wao Hosea ndo kabisaaaaa anazidi kuifanya ionekane haifai kabisa,kwanza ni mtuhumia mkubwa, pili utendaji wake unaonekana wazi ni kwa ajili ya kulinda maslahi ya mafisadi period!
lakini pia haijakushanganza, Fisadi papa Rostamu Azizi kwenda Takukuru kupinga tuhuma dhidi yake? yaani huko kweli ndiko alipaswa kwenda tena kwa mbwembwe na picha mnato na muondosheo juu? kama siyo, hivi mtu waweza jisafisha tuhuma kwa kumtuhumu mtu mwingine?
Watanzania bana mnanichosha sana sijui uvivu wa kufikiri na kung'amua mambo? Huyu papa katumia haki ya msingi na ya kikatiba amepeleka vielelezo vyake vya kumtuhumu Mengi sasa na Mengi nae ana haki ya kutumia haki ya msingi kupeleka ushahidi wake kama anao wa kumtuhumu RA apeleke mahala husika kama alivyo fanya huyu papa.
Mkuu wewe ulitaka apeleke wapi?
Na pia tukumbuke RA alimpa masaa 48 aombe radhi la sivyo atamchukulia hatua. Nilitegemea angeenda mahakamani kumshitaki RM kamchafulai jina na amtake mengi alete uthibitisho wa aliyosema. Badala yake kaenda kusema ufisadi wa Mengi. Mengi yeye alikanusha aliyotuhumiwa na akiitwa PCB atapeleka defence yake ila rostam hakukanusha kwa vithibitisho.Hivyo maana yake kwa wenye akili madai ya Mengi kwa rostam kwamba ni fisadi papa yamesimama pale pale
Mkuu,
Sasa umeanza kuiita TAKUKURU kimbilio la mafisadi kwa facts zipi?
badala ya kuwashauri watanzania wenye ushahidi kuwasiliana na polisi au TAKUKURU wewe unaanza kutumia jambo la RA kwenda TAKUKURU kuifanya taasisi yote ionekane ya kifisadi?
Inaelekea hapa JF tumechanganyikiwa hata hatujui nini tunataka, hatuna msimamo mmoja unaoeleweka, tunayumba, tunatapatapa kwa kuangalia mhusika ni nani.
RA katumia haki yake kama Mtanzania mwingine, muhimu ni kuwashauri wengine wenye habari kuhusu uhalifu kuweza kuzifikisha kwenye vyombo vyetu vya usalama.
Huwezi kumlazimisha mtu aende sehemu unayotaka wewe, mtu anaweza kwenda polisi, anaweza kwenda vyombo vya habari ili viandike, anaweza kwenda mahakamani, anaweza kwenda TAKUKURU.
Kitu ambacho hutakiwi kufanya ni kuilamu taasisi yote kama TAKUKURU kwamba ni kimbilio la mafisadi. Je wale walioko mahakani baada ya kupelekwa na TAKUKURU sio mafisadi?
Ndio TAKUKURU wana matatizo na wanatakiwa kuongeza ufanisi na kupunguza kuwa tegemezi sana kwa serikali, lakini hiyo sio sababu ya kuwaita TAKUKURU kimbilio la mafisadi.
Sio kila case unaweza kupeleka mahakamani. RA anaweza kwenda mahakamani kumshitaki Mengi kwa kumkashifu lakini hawezi kwenda mahakani kumshitaki Mengi kwa kuiibia NICO au mabank. Hiyo ni kazi ya serikali kama sikosei.
Hawa jamaa watoe ushahidi walio nao ili tuwajue vizuri hawa papa na Nyangumi bila kujali ni Mengi au RA.
Tatizo la watu wengi hapa ni double standards, kama Mengi amekosea sio fisadi, kama RA ni fisadi. Hawa wote mapapa na Nyangumi ni mzigo kwa Tanzania. List haiishii hapo, wako wengi mno. Wakiumbuana ndio faida kwa sisi wananchi.
mahakamani akafanye nini ? Kwani yeye ni bwana mashtaka ???? Aidha anaweza kwenda police au takukuru....wao sasa ndio kazi yao kuchunguza.....
TAKUKURU inawajibika kwa ofisi ya Rais, haiwezi kufanya kazi kwa ufanisi mpaka itakapokuwa taasisi huru.