Mwaka wa 2000 na 2001 vyeti havikutolewa. Ndio maana mnalipishwa rushwa huku mnaomba kupambana na rushwa.
Mi nilimaliza la 7 mwaka 1985 nimeenda wanasema vyeti miaka hiyo vilikuwa havitolewi.
kama huna muombe mwalimu mkuu akuandikie barua ya kuthibitisha kuwa ulisoma hapo shule ..anaandika kwenda pccb alafu unaambatanisha na vyeti na barua ya maombi... Usifanye utani ajiri ni ngumunahis hii ni njia ya kupunguzana nn? Npo dsm la sapa nmemaliza shinyanga-chet sjawah kukiona sasa ntakipata je mie leo nmeongea na tcha wangu anadai havipo shulen mpaka mkoan;hii si kaz ngum jaman?? Plz pccb liangalien hili japo kwel kuna watu waliiba majina ya watu kujiunga form 1
Toa ripoti polisi,toa tangazo kwenye gazeti, jaza fomu za necta lipia nmb 10000 alafu ambatanisha hivyo vyote tuma vyote hivyo baraza alafu wenyewe watatuma statement of rusults huko unakotaka yatumike hayo matokeo.Mie changu cha mwaka 1998 ninacho kina rangi kama ya kijani fulani isiyokolezwa ...vyeti vyote ni muhimu jamani
.
Atakayemwona mwenye cheti changu cha fm4 anipm make waliniibia mpaka leo nasumbuka sana na utaratibu wa baraza mbaya sana hawatoi vingine sijuhi kwanini,hii sheria ya NECTA yafaa kuangaliwa upya
Wengine shule tulisoma forodhani primary school kwasasa imekua ya katoliki inaitwa st joseph millenium..ss vyeti tutatoa wapi wakt ht walimu wote walihamishwa shule ikabaki nyeupe bila mwalimu wala mwanafunzi..kwa kifupi haiexist tena
Cha muhimu ni kwamba ulisoma kweli Darasa la kwanza Hadi la Saba na una cheti cha kudhibitisha hilo, haup mambo ya vilitolewa havikutolewa misa waziri wa elimu alivisitisha hayana mashiko
Ukihojiwa umekitoa wapi wakati serikali ilivisitisha utajibu nini??? Nenda wizarani ukaulize kama vyeti vya darasa la saba miaka 2000 na 2001 vinatolewa ama la.
ACHa uvivu mtoto wa kitanzania nenda pale watakupa taarifa zote zipo .
Mimi nimemaliza mwaka 1999 je vipo?
Wengine shule tulisoma forodhani primary school kwasasa imekua ya katoliki inaitwa st joseph millenium..ss vyeti tutatoa wapi wakt ht walimu wote walihamishwa shule ikabaki nyeupe bila mwalimu wala mwanafunzi..kwa kifupi haiexist tena
Watoe paper la darasa la saba atakaye chemka basi