Pccb majanga jamani ...

Pccb majanga jamani ...

Sidhani kama 'hiyo test' ina umuhimu kwake hata akipata 105 percent hawezi kuitwa kwa sababu hakuwepo kwenye short list...labda kama alikuwa anatafuta experience ya aptitude test.
Halafu mwenyewe unaongea kwa kujisifu..!!(Wastage of time).
 
Mdogo wangu hakuwapo kwenye list ya gazeti, lakini kaweza kufanya hiyo test. Mbaya ana supplement pale Law School. Mmh

Sidhani kama 'hiyo test' ina umuhimu kwake hata akipata 105 percent hawezi kuitwa kwa sababu hakuwepo kwenye short list...labda kama alikuwa anatafuta experience ya aptitude test.
Halafu mwenyewe unaongea kwa kujisifu..!!(Wastage of time).
 
Eti ...MALIZIA METHALI ZIFUATAZO
1.MSAFIRI MASKINI..........
2.MKONO MMOJA.........
HESABU SASA
6×0=
7×6=
haaaaa yaaani saa 6 mpaka saa kumi na moja ndo tunaanza jamani hali inatisha ....

tukuulize wewe ulitaka waulize maswali gani?,nyie ndo mlikesha kusoma vitu ambavyo hamna uhakika navyo!
 
mmmh wamekosea mimi ninavyoelewa test kama hizi huwa zinakuwa general kwa kitu ulichosomea sio mtu kasoma engineering unaenda uliza maswali kama hayo, waige wezao ama diageo or sabmiller waone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom