Pccb majanga jamani ...

Pccb majanga jamani ...

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Eti ...MALIZIA METHALI ZIFUATAZO
1.MSAFIRI MASKINI..........
2.MKONO MMOJA.........
HESABU SASA
6×0=
7×6=
haaaaa yaaani saa 6 mpaka saa kumi na moja ndo tunaanza jamani hali inatisha ....
 
Hyo methali ya pili mi ningejibu WEKA JUU kama chege!
 
mkono mmoja weka juuu ,weka juuu chege moko .yule Mburahat primary school alikuwepo?
 
Eti ...MALIZIA METHALI ZIFUATAZO
1.MSAFIRI MASKINI..........
2.MKONO MMOJA.........
HESABU SASA
6×0=
7×6=
haaaaa yaaani saa 6 mpaka saa kumi na moja ndo tunaanza jamani hali inatisha ....

Umeshindwa kujibu maswali rahisi hayo?
 
Ndio aptitude test hiyo mkuu. Niliwaona watu wengi wakiwa wampendeza!
Wakaka mashati na mkanda nje, barber shope wakiwa wamewaweka safi kabisa, zile suruali za kata K leo sikuziona.
Wadada wamependeza kabisa kwa nguo za adabu, zile nguo zao zilee vivazi (vigauni vya juu ya magoti na suruali za kutamanisha sikuziona leo.
Kumbe wa Tz tukiamua tunaweza, tusingoje interview tu bali tuwe na mavazi ya heshima jamani.
Leo bodaboda nao wamepiga kazi sana kuwawahisha watu kwenye foleni pale sabasaba na maeneo ya jirani, na jana juzi vinyozi wamepiga mzigo wa kutosha. Hata stationary naona wameuza sana ballpen na bahasha za khaki (A4).
Ndiyo hivyo mambo ni kutegemezana huku mkingojea majibu ya aptitude test next week.
 
Yuwiii leo nimekutana na thread ya wavuta bangi.
 
ukweli mtupu
 
Sio wavuta bangi kaka embu jibu hizo methali .. da only ib tanzania sijawahi ona hiii kitu
 
nilisha comment hapa kwa mwanajamvi mmoja aliyekuwa anaomba tangazo la kazi za PCCB, na nilimwambia interview za hawa jamaa wanaweza kuuliza mkuu wa mkoa wa Arusha ni nani? ila kwa njinsi ya maswali hayo tutegemee majanga na assessment tosha kwa hawa jamaa kukuta interviewee walikuwa under qualified, nadhani kutakuwa na re-advertisement ya hizi nafasi tusubiri
 
Mdogo wangu hakuwapo kwenye list ya gazeti, lakini kaweza kufanya hiyo test. Mbaya ana supplement pale Law School. Mmh
 
Ndio aptitude test hiyo mkuu. Niliwaona watu wengi wakiwa wampendeza!
Wakaka mashati na mkanda nje, barber shope wakiwa wamewaweka safi kabisa, zile suruali za kata K leo sikuziona.
Wadada wamependeza kabisa kwa nguo za adabu, zile nguo zao zilee vivazi (vigauni vya juu ya magoti na suruali za kutamanisha sikuziona leo.
Kumbe wa Tz tukiamua tunaweza, tusingoje interview tu bali tuwe na mavazi ya heshima jamani.
Leo bodaboda nao wamepiga kazi sana kuwawahisha watu kwenye foleni pale sabasaba na maeneo ya jirani, na jana juzi vinyozi wamepiga mzigo wa kutosha. Hata stationary naona wameuza sana ballpen na bahasha za khaki (A4).
Ndiyo hivyo mambo ni kutegemezana huku mkingojea majibu ya aptitude test next week.

umenena mkuu hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom