PC yangu imekufa hivi hivi nikiona

PC yangu imekufa hivi hivi nikiona

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Nilibahatika kupata pc Dell Safi tu CoreI 7 Generation ya 3 ..ikiwa na Ram 4GB na 500GB HD... kwa bahati mbaya ilikua na Password kwenye Admin Account so nikawa natumia Guest hivyo kukosa baadhi ya fetures..nikaamua kupiga window chini ilikua na Windows 7 ...bana ww wataalamu wetu wa IT hawa.. basi fproffecinal fundi akaweka Window ya kwanza ..inafika mpaka mwisho ikirestart ili iwake ngoma haimalizi inazima... s
Ikawekwa window nyingine ..mchezo ukawa huo huo

Tukapiga windows 10 ..ikapaswa kuUpdatiwa Intel Graphic .. ikimaliza kuUpdate inashut down mzigo ukiwaka inafika mahala hainyosho chochcote yaani ni screen black out

Nikamwambia fundi nipe laptop yangu ...nikaenda kwa mwemgine akasema tatizo ni Ram ..tukaweka Ram kumi tofauti shida ipo palepale ..akasema tatizo ni AC ya Ram so itacost 40k ..nikamwambia sawa weka hiyo Ac... baada ya siku moja mikaenda akasema aisee hi ngoma haifai tena ...tuchinje tu tuuze kimoja kimoja ya HD ..Ram na Screen.

Kumbuka tatizo nililolipeleka kwao ni Wondows tu ..ila niliondoka kwenda kwao nikiwa natumia kabisa ndani ya gari kwa kupitia Guest account ikiwa haina tatizo lolote.

Fundi anashawish tuuze tu kama screpa.|Hadi sasa mimenyamaza kimya nawatafakari..

Mm niliwaza BIOs Battery ni ya kubadili ...ila wataalamu wangu walikataa katu katu..si unawajua tena majaa wa IT..

Embu niambiani Tatizo ni nn hapa ..wadau

Ahsanteni
 
Mimi nimeamua kutumuia mac tu kwa kuwa mafundi wake wanajulikana na kama tatizo la software unaweza kumaliza mwenyewe labda la hardware ndo niibebe niende nayo Elite au applestore hawa wa window sijui dirisha walishanitia hasara sitakuja isahau. ilikufa power suply nilipoipeleka akavunja mpaka screen
 
Tutafutane pm mkuu, nijue nakusaidiaje lakin hilo tatizo dogo
Mkuu mimi pc yangu ilikuwa safi sasa nikahitaji ku update window nikampelekea mtu. Ilikuwa 7 pro akaweka 7 ultimate basi yani asahivi ukifungua picha na video yani zinachengachenga balaa yani huoni kitu sio clear huelewi. Nimehangaika kufanya setting lakini wapii. Sijui tatizo itakua nin
 
Mkuu mimi pc yangu ilikuwa safi sasa nikahitaji ku update window nikampelekea mtu. Ilikuwa 7 pro akaweka 7 ultimate basi yani asahivi ukifungua picha na video yani zinachengachenga balaa yani huoni kitu sio clear huelewi. Nimehangaika kufanya setting lakini wapii. Sijui tatizo itakua nin
UPDATE GRAPHICS DRIVERS
 
Ilo tatizo linakuwa solved kwa njia ndogo sana

Ungepiga window xp au window 98

Then unapandishia na window unayoitaka wewe

Kesi ingekuwa imeisha,

Njia ya pili ni kutoa hard disk unapiga kupitia pc nyingine then unairudisha kwenye pc yako
 
- Fanya clean installation ya toleo la OS (window) unahitaji.
- Fanya update ya drivers
Itakuwa tayari kwa matumizi bila tatizo lolote
Kwahiyo nipige window upya. Nahitaji ni upgrade to win10 vipi nita solve.
 
Nani ananunua screpa na mimi nataka kuuza yangu mimi inawaka ule muungurumo nausikia na hata ukibonyeza keyboard inatoa mwanga ila screen nyeusi kabisa haionyeshi chochote
 
Kwa kesi ya hiyo yako, jaribu kutoa betri na kutokuichomeka kwenye umeme kisha shikilia hata kwa zaidi ya dakika moja button ya power yaani kama unaiwasha hivi ila hauachii button then, chomeka kwenye umeme bila kuweka betri kwanza iwashe kawaida. Ikizingua jaribu kutumia displat0y ya nnje ili ujue kama hiyo ina tatizo au ni machine. Zaidi otaonana na mafundi.
Ni wapi huko mkuu, nataka nipeleke ya kwangu nikitoka safari maana imezima ghafla inashindwa kudisplay japokua chaji inaingia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom