PC yangu imekufa hivi hivi nikiona

PC yangu imekufa hivi hivi nikiona

Nani ananunua screpa na mimi nataka kuuza yangu mimi inawaka ule muungurumo nausikia na hata ukibonyeza keyboard inatoa mwanga ila screen nyeusi kabisa haionyeshi chochote
Hiyo nipe tu bure mimi shangazi.
 
Ilo tatizo linakuwa solved kwa njia ndogo sana

Ungepiga window xp au window 98

Then unapandishia na window unayoitaka wewe

Kesi ingekuwa imeisha,

Njia ya pili ni kutoa hard disk unapiga kupitia pc nyingine then unairudisha kwenye pc yako
Hili ndy lilikua jibu la matatizo yko ungeInstall Xp kwanza then Ungeipiga tena chin Xp na kufny installation ya Os yyte nyingn ambyo ni chaguo lako
 
Nani ananunua screpa na mimi nataka kuuza yangu mimi inawaka ule muungurumo nausikia na hata ukibonyeza keyboard inatoa mwanga ila screen nyeusi kabisa haionyeshi chochote
unauza pc ambayo tatizolake linaweza kuwa dogo sana
 
Nyama kidogo... mfano dell flani flani Model No flani flani. Au hata kapicha tuu. I
DELL XPS M1530 (sijui ndio inaandikwa hivi [emoji85])

download%20(1).jpeg

Sio hii ila iko kama hii
 
Nani ananunua screpa na mimi nataka kuuza yangu mimi inawaka ule muungurumo nausikia na hata ukibonyeza keyboard inatoa mwanga ila screen nyeusi kabisa haionyeshi chochote
Hicho Ndicho kilichonikuta kwenye laptop yangu aisee
 
Nilibahatika kupata pc Dell Safi tu CoreI 7 Generation ya 3 ..ikiwa na Ram 4GB na 500GB HD... kwa bahati mbaya ilikua na Password kwenye Admin Account so nikawa natumia Guest hivyo kukosa baadhi ya fetures..nikaamua kupiga window chini ilikua na Windows 7 ...bana ww wataalamu wetu wa IT hawa.. basi fproffecinal fundi akaweka Window ya kwanza ..inafika mpaka mwisho ikirestart ili iwake ngoma haimalizi inazima... s
Ikawekwa window nyingine ..mchezo ukawa huo huo ...
Tukapiga windows 10 ..ikapaswa kuUpdatiwa Intel Graphic .. ikimaliza kuUpdate inashut down mzigo ukiwaka inafika mahala hainyosho chochcote yaani ni screen black out ..
Nikamwambia fundi nipe laptop yangu ...nikaenda kwa mwemgine akasema tatizo ni Ram ..tukaweka Ram kumi tofauti shida ipo palepale ..akasema tatizo ni AC ya Ram so itacost 40k ..nikamwambia sawa weka hiyo Ac... baada ya siku moja mikaenda akasema aisee hi ngoma haifai tena ...tuchinje tu tuuze kimoja kimoja ya HD ..Ram na Screen..
Kumbuka tatizo nililolipeleka kwao ni Wondows tu ..ila niliondoka kwenda kwao nikiwa natumia kabisa ndani ya gari kwa kupitia Guest account ikiwa haina tatizo lolote.
Fundi anashawish tuuze tu kama screpa.|Hadi sasa mimenyamaza kimya nawatafakari..

Mm niliwaza BIOs Battery ni ya kubadili ...ila wataalamu wangu walikataa katu katu..si unawajua tena majaa wa IT..

Embu niambiani Tatizo ni nn hapa ..wadau


Ahsanteni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muwage mnauliza Before yaan Hapa Shida ni Ndogo kweli ila Ulivozungushwa sasa,

Hapo Dawa Ungeweka Windows Xp sp2 unazibua Njia Kisha Ndo unakuja Hizi Windows Latest ambayo ipo compatible na Pc yako.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muwage mnauliza Before yaan Hapa Shida ni Ndogo kweli ila Ulivozungushwa sasa,

Hapo Dawa Ungeweka Windows Xp sp2 unazibua Njia Kisha Ndo unakuja Hizi Windows Latest ambayo ipo compatible na Pc yako.
Duuh mnamuumiza mwana rohoo...!!
 
Kariakoo kuna wababishaji sana.

Kama umenunua kitu chako kwa bei mbaya usipeleke,utaishia kukunjana shati tu na wale vilaza.
 
Mimi nimeamua kutumuia mac tu kwa kuwa mafundi wake wanajulikana na kama tatizo la software unaweza kumaliza mwenyewe labda la hardware ndo niibebe niende nayo Elite au applestore hawa wa window sijui dirisha walishanitia hasara sitakuja isahau. ilikufa power suply nilipoipeleka akavunja mpaka screen

Apple store zipo hp bongo kweli kk
 
Pole sana. Bongo mafundi computer wengi ni walio kua mafundi saa na redio miaka kadhaa nyuma, asa unategemea nini?
 
Hawa mafundi wanazingua maana mimi nilipeleka kwa jamaa kapiga window 7 professinal kutoka 10 ila kashindwa ku SET earphone hazilii pia bluetooth haifanyi kazi wakati mwanzoni vilikuwa vinafanyakazi tu vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom