PC yangu imekufa hivi hivi nikiona

PC yangu imekufa hivi hivi nikiona

Alivyobadirisha window kuna driver zime miss so fanya windows update au download VGA driver ya model ya pc yako.

au connect kwenye internet then google driver pack, install, na kuiacha iinstall driver na optinal program aoutomatically. Hope tatizo litakwisha.
Mkuu mimi pc yangu ilikuwa safi sasa nikahitaji ku update window nikampelekea mtu. Ilikuwa 7 pro akaweka 7 ultimate basi yani asahivi ukifungua picha na video yani zinachengachenga balaa yani huoni kitu sio clear huelewi. Nimehangaika kufanya setting lakini wapii. Sijui tatizo itakua nin
 
Dawa ni ndogo, ungepiga windows kwa PC nyingine kisha Hard disk ungeirudisha kwenye PC yako
Bado si njia bora sana kwasababu windows inapoingia huwa inaangalia hardware zilizopo so sio kila PC hardware ni sawa sawa. Kama itatokea kwa njia hiyo imeweza kuwaka basi asisahau kufanya windows updating ili na hardware za pc hiyo ziweze kutambuliwa na windows.
 
Nitumie kabila la hiyo screpa. Tunaweza kufanya biashara kama si ufundi.
Nani ananunua screpa na mimi nataka kuuza yangu mimi inawaka ule muungurumo nausikia na hata ukibonyeza keyboard inatoa mwanga ila screen nyeusi kabisa haionyeshi chochote
 
Nilibahatika kupata pc Dell Safi tu CoreI 7 Generation ya 3 ..ikiwa na Ram 4GB na 500GB HD... kwa bahati mbaya ilikua na Password kwenye Admin Account so nikawa natumia Guest hivyo kukosa baadhi ya fetures..nikaamua kupiga window chini ilikua na Windows 7 ...bana ww wataalamu wetu wa IT hawa.. basi fproffecinal fundi akaweka Window ya kwanza ..inafika mpaka mwisho ikirestart ili iwake ngoma haimalizi inazima... s
Ikawekwa window nyingine ..mchezo ukawa huo huo ...
Tukapiga windows 10 ..ikapaswa kuUpdatiwa Intel Graphic .. ikimaliza kuUpdate inashut down mzigo ukiwaka inafika mahala hainyosho chochcote yaani ni screen black out ..
Nikamwambia fundi nipe laptop yangu ...nikaenda kwa mwemgine akasema tatizo ni Ram ..tukaweka Ram kumi tofauti shida ipo palepale ..akasema tatizo ni AC ya Ram so itacost 40k ..nikamwambia sawa weka hiyo Ac... baada ya siku moja mikaenda akasema aisee hi ngoma haifai tena ...tuchinje tu tuuze kimoja kimoja ya HD ..Ram na Screen..
Kumbuka tatizo nililolipeleka kwao ni Wondows tu ..ila niliondoka kwenda kwao nikiwa natumia kabisa ndani ya gari kwa kupitia Guest account ikiwa haina tatizo lolote.
Fundi anashawish tuuze tu kama screpa.|Hadi sasa mimenyamaza kimya nawatafakari..

Mm niliwaza BIOs Battery ni ya kubadili ...ila wataalamu wangu walikataa katu katu..si unawajua tena majaa wa IT..

Embu niambiani Tatizo ni nn hapa ..wadau


Ahsanteni
Kuna mambo ambayo siwezi kumuanimi fundi kamwe. Awe wa simu au awe wa computer.

Yes ni kweli baadhi ya computer ukicheza na bios battery unaweza kuondoa admin password lakini zipo pia solution zingine.
 
mimi nimeamua kutumuia mac tu kwa kuwa mafundi wake wanajulikana na kama tatizo la software unaweza kumaliza mwenyewe labda la hardware ndo niibebe niende nayo Elite au applestore hawa wa window sijui dirisha walishanitia hasara sitakuja isahau. ilikufa power suply nilipoipeleka akavunja mpaka screen
Ulimfanyaje huyo aliyekuvunjia kioo?
 
Kwa kesi ya hiyo yako, jaribu kutoa betri na kutokuichomeka kwenye umeme kisha shikilia hata kwa zaidi ya dakika moja button ya power yaani kama unaiwasha hivi ila hauachii button then, chomeka kwenye umeme bila kuweka betri kwanza iwashe kawaida. Ikizingua jaribu kutumia displat0y ya nnje ili ujue kama hiyo ina tatizo au ni machine. Zaidi otaonana na mafundi.
Shukrani, ngoja nijaribu
 
HDD ikianza kuchoka watu wengi wanachanganya madesa wakijua ni Windows..

Google au youtube ni hub ya kila kitu. Unaandika dalili zote zinazonyeshwa na pc yako kwenye search bar..Then unaanza kupitia search result moja baada nyingine walau za kutosha ili kujiridhisha..

majibu yaliyotokea mara nyingi ndio yana uwezekano mkubwa kuwa ndio tatizo la mashine yako..ukishindwa kabisa ndipo tafuta msaada.

vitu vingine huitaji hata kwenda kwa fundi.Ukijua kusoma au kusikia kiingereza tu wataalam kibao wamejaa google na youtube.

Wajanja wajanja wengi wa mjini wenye idea na IT wanazama youtube au google then wanafungua kakibanda wanaanza kupiga pesa..mafundi radio, tv, pc, magari, friji, baiskeli, nk.
 
Ndio ukiiweka HDD kwenye pc husika inafix na ku adopt hardware mpya
Bado si njia bora sana kwasababu windows inapoingia huwa inaangalia hardware zilizopo so sio kila PC hardware ni sawa sawa. Kama itatokea kwa njia hiyo imeweza kuwaka basi asisahau kufanya windows updating ili na hardware za pc hiyo ziweze kutambuliwa na windows.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom