Mkuu mkwawa kuna generation ngapi kwan?
amd ni bristol ridge ni zipi
mkuu shukran kwa maelezo mazuri ila sasa naomba utupe na mifano ya hizo pc ili tukienda kununua tujue ni aina zipi hasa zinatufaakwa intel processor zao maarufu kuna generation sita mpaka sasa na ya saba itatoka baadae mwaka huu
-1st generation inaitwa nehalem/westemere
-2nd generation inaitwa sandy bridge
-3rd generation inaitwa ivy bridge
-4th generation inaitwa haswell
-5th generation inaitwa broadwell
-6th generation inaitwa skylake
baadae mwaka huu na mwakani itatoka
-7th generation itakayoitwa kabylake
-8th generation itakayoitwa canonlake
kama nilivyosema hapo juu hizo generation ni kwa ajili ya processor maarufu tu kama i5/i3/i7 na core m na baadhi ya pentium na celeron kwa umaarufu tunasema "core series"
intel pia ana series nyengine za processor ndogo maarufu kama atom hizi haziingiliani na hizo generation hapo juu huku unakuta generation kama baytrail, cherry trail, braswell na apolo lake. hizi huwa zinatumia umeme mdogo sana na perfomance pia ni ndogo na celeron na pentium za sasa zinatumia atom inabidi uwe makini sana kama unanunua laptop ya celeron au pentium ili ujue kama inatoka kwenye core au atom.
kuhusu amd pia ana series zake nae zipo bulldozer, kaveri, godavari, bristol ridge, carrizo etc sema amd amekuwa outdated sana wana architechture yao mpya inaitwa zen itakuja 2017 nafkiri wengi wanasema itakuwa nzuri huwenda ikacompete na intel.
hakuna tofauti sana kwenye generation kama 4 hivi za amd karibia zote zinafanana.
na cpu za bristol ridge zitaingia sokoni hivi karibuni hivyo nyingi bado hazijajulikana ni leaks tu ndio zipo
pc zipo tofauti sana aina moja tu ya pc inaweza kuwa na aina ndogo ndogo karibia 20 ambazo zinakidhi mahitaji tofauti tofauti hivyo siwezi kukwambia kanunue pc fulani bila kujua unaenda ifanyia nini na una budget kiasi gani.mkuu shukran kwa maelezo mazuri ila sasa naomba utupe na mifano ya hizo pc ili tukienda kununua tujue ni aina zipi hasa zinatufaa
mkuu hii sanaa ya pc ni hobby tu sidhani hata kama humo mashuleni inafundishwa, kila mtu anaweza kuijua akitaka si lazima uwe umesomea It.Mkuu upo deep, Chief ulisoma wapi na una level gani ya it
mkuu kweli upo deep/lakin kwa mtu kama mkuu aliyeiomba ushauri,hii ni overkill.nadhani muomba usahuri(hata mimi) angependa/ningependa kujua vtu basic kama brand nzuri,uimara,ukubwa wa ram,storage,labda swala la upatikanaji wa hardware za kureplace kwa brand flani,na muhimu bei kwa makadirio tuu,na vingine basic unavyovijua mkuu.nadhani mkuu(mleta uzi)atakuwa ni mtumiaji wa kawaida kama matumizi ya mwanafunzi wa chuo hv,yani vitu common ni kujaza movies kibao miziki picha,kufanya kaz ndogondogo kama kutype,kutumia internet/kudownload nk.natanguliza shukrani.mkuu hii sanaa ya pc ni hobby tu sidhani hata kama humo mashuleni inafundishwa, kila mtu anaweza kuijua akitaka si lazima uwe umesomea It.
mkuu kweli upo deep/lakin kwa mtu kama mkuu aliyeiomba ushauri,hii ni overkill.nadhani muomba usahuri(hata mimi) angependa/ningependa kujua vtu basic kama brand nzuri,uimara,ukubwa wa ram,storage,labda swala la upatikanaji wa hardware za kureplace kwa brand flani,na muhimu bei kwa makadirio tuu,na vingine basic unavyovijua mkuu.nadhani mkuu(mleta uzi)atakuwa ni mtumiaji wa kawaida kama matumizi ya mwanafunzi wa chuo hv,yani vitu common ni kujaza movies kibao miziki picha,kufanya kaz ndogondogo kama kutype,kutumia internet/kudownload nk.natanguliza shukrani.
mkuu ukichagua generation ya kisasa automatic mambo mengine nayo yanakuwa mazuri, kwa intel generation ya 6 yaani skylake na kwa amd ni bristol ridge japo narecomend zaidi intel.
kuzijua kama hii ni generation ya 6 angalia namba ya kwanza ya processor itaanziwa na namba 6 na itakuwa na namba 4 kwa ujumla. mfano wa processor za generation ya 6 ni kama
i7 6700
i5 6500
i3 6100
ukiwa na generation mpya inamaana automatic
-ram zitakuwa za kisasa (ddr4)
-hdd itakuwa na speed kidogo
-adapter za wifi na component nyengine za ndani zitakuwa nzuri
hapo ndio kiurahisi kadri nilivyoweza kuelezea ila kama unataka maelezo zaidi inabidi tuingie deep kila kifaa ndani ya pc kuanzia processor, ram, hdd, mobo, gpu etc
Nimependa hapo kwenye kutambua processor za Celeron na Pentium za atom na ambazo si atom lakni haujapaelezea, kwa faida ya wote nini kitafanya kuzitambua hizo processor?kwa intel processor zao maarufu kuna generation sita mpaka sasa na ya saba itatoka baadae mwaka huu
-1st generation inaitwa nehalem/westemere
-2nd generation inaitwa sandy bridge
-3rd generation inaitwa ivy bridge
-4th generation inaitwa haswell
-5th generation inaitwa broadwell
-6th generation inaitwa skylake
baadae mwaka huu na mwakani itatoka
-7th generation itakayoitwa kabylake
-8th generation itakayoitwa canonlake
kama nilivyosema hapo juu hizo generation ni kwa ajili ya processor maarufu tu kama i5/i3/i7 na core m na baadhi ya pentium na celeron kwa umaarufu tunasema "core series"
intel pia ana series nyengine za processor ndogo maarufu kama atom hizi haziingiliani na hizo generation hapo juu huku unakuta generation kama baytrail, cherry trail, braswell na apolo lake. hizi huwa zinatumia umeme mdogo sana na perfomance pia ni ndogo na celeron na pentium za sasa zinatumia atom inabidi uwe makini sana kama unanunua laptop ya celeron au pentium ili ujue kama inatoka kwenye core au atom.
kuhusu amd pia ana series zake nae zipo bulldozer, kaveri, godavari, bristol ridge, carrizo etc sema amd amekuwa outdated sana wana architechture yao mpya inaitwa zen itakuja 2017 nafkiri wengi wanasema itakuwa nzuri huwenda ikacompete na intel.
hakuna tofauti sana kwenye generation kama 4 hivi za amd karibia zote zinafanana.
na cpu za bristol ridge zitaingia sokoni hivi karibuni hivyo nyingi bado hazijajulikana ni leaks tu ndio zipo
huko ddr3 tumeshahama mkuu kuanzia skylake watu wamehamia ddr4 ambazo zina speed na bandwidth kubwa zaidi ya ddr3Naomba nikusahihishe mkuu hapo kwenye version ya RAM...m,i ddr3 na sio ddr4
Nime edit post yangu mkuu...ila kwa ndo ipo mbioni kuhamia makampuni mengine yanayozalisha kompyutahuko ddr3 tumeshahama mkuu kuanzia skylake watu wamehamia ddr4 ambazo zina speed na bandwidth kubwa zaidi ya ddr3
Nimependa hapo kwenye kutambua processor za Celeron na Pentium za atom na ambazo si atom lakni haujapaelezea, kwa faida ya wote nini kitafanya kuzitambua hizo processor?
Kati ya processor ya Pentium na celeron ipi ina nguvu kushinda nyingine kwa matoleo yote?
sijakuelewa mkuu unamaanisha hizo processor mpya zinapatikana kwenye computer za apple ambazo bei zake ni sawa na shamba?Nime edit post yangu mkuu...ila kwa ndo ipo mbioni kuhamia makampuni mengine yanayozalisha kompyuta
Kwa sasa hv wanafaidika wateja wa apple toleo la Latina ambayo bei yake bora ukanunue shamba tu litakusaidia baadae uzeeni
PC nzuri ni ile ambayo itakidhi mahitaji yako kwa wakati huo unaohitaji na miaka kadhaa mbele, lakini kikubwa ni bajeti yako.Heshima kwenu wandugu.
Kutokana na hali ilivyosasa mahitaji ya pc yamekuwa makubwa sana. Mimi ni mmoja kati ya wahitaji wakubwa wa kompyuta (PC).
Kwa kuwa nina uhitaji ila siyo mtaalam wa hivi vitu naomba mnisaidie kujua uzuri wake unategemea vitu gani hasa kwenye PC hadi iwe na uwezo mkubwa wa kuprocess mambo hasa upande wa kwenye mtandao