PC aina ya Dell shida imetokea

PC aina ya Dell shida imetokea

kajuka

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
606
Reaction score
233
Wadau pc yangu ni Dell toleo la zamani, wakati nafanya shighuli zangu za kawaida imekata moto gafla ila adapta inawaka kama kawaida sema pc yenyewe ndo haiwaki.

Nina mpango wa kumwaona fundi ila kabla sijaenda wataalam labda mnisaidie shida inaweza kuwa nini na gharama inaweza kuwaje ili nijipange.

Msaada tafadhari!
 
Hapa shida ni short kwenye control power ... Tuwasiliane nipo ilala karume nikusaidie kuweka sasa mkuu
0682202114
 
Achana na hilo toleo la zaman
 
Back
Top Bottom