Concern yetu sisi ni kupata huduma husika. Concern ya Serikali ni usalama na kunufaika na huduma husika (kodi ni moja tu ya mambo mengi serikali itanufaika).Moja ya concern ya mataifa mengi hata hao walioruhusu ni jinsi ya kulipa kodi kwabiashara inayofanyika. Mengi ya makampuni hujisajili kwenye nchi au majimbo yenye kodi ndogo nje ya sehemu kuu wanayofanyia biashara. So how do we address that tax hole?
Mkuu sasa petition na group la Whatsapp vinasaidia nini? Nilitegemea ufungue page tuanze kujaza. Nipe elimu kidogo.
By the way issue sio Paypal only but whole monetary System in Tz as far as Digital electronics is concerned. I have good suggestions and gazillion questions. I hope many more have. Natamani kama ningepata muda na Policy makers kuhusu hizi mambo, ila ndio hivyo tena kuwapata ni issue kidogo!
Mateja M.G Yango,
Hilo jambo ni muhimu sana na mimi binafsi niliwahi kulivalia njuga. Kwa mujibu wa PayPal ambao niliwasiliana nao, tatizo sio moja kwa moja toka kwao bali kuna some administrative issues (may be some regulations or something like that) vile vile zinahitajika kutoka kwetu (serikalini).
Kilicho wazi ni kwamba PayPal hawatuhitaji sana sisi kama tunavyowahitaji wao; kwa maana nyingine sidhani kama kuna economic factors zinazoweza kuwashawishi PayPal kutufuata sisi badala ya sisi kuwafuata wao. Kutokana na ukweli huo, binafsi nilikuwa nasubiria tu hii serikali ya Magufuri ikae sawa ili niliibue hili suala. Nilikusudia kufungua petition vile vile but not directly to PayPal but to the government at least ku-create awareness. Lazima tukubali kwamba haya mambo ni mageni sana kwahiyo hata huko serikalini kwenyewe wengi hawafahamu lolote! Na ndio maana ilikuwa hata ukienda kwenye benki zetu ambako wengi ni vijana na wasomi, lakini bado unakuta wengi hawafahamu.
So, wakati unaendelea na hizo harakati zako, nami soon nina mpango huo huo lakini kwanza nitajaribu ku-create awareness kabla ya ku-file petition. Lakini kwavile issue yenyewe kwa PayPal nilituma query muda mrefu, nitaanza kwa kutuma fresh query ili kutafuta jibu lao kwa sasa ni lipi!
Ni add kwenye hilo group 0762 390 201
Ulishawahi kuwasiliana na Paypal wakakupa list ya vikwazo? Approach yako inaonekana more pro.nami soon nina mpango huo huo lakini kwanza nitajaribu ku-create awareness kabla ya ku-file petition. Lakini kwavile issue yenyewe kwa PayPal nilituma query muda mrefu, nitaanza kwa kutuma fresh query ili kutafuta jibu lao kwa sasa ni lipi!
Mkuu Stefano,Ulishawahi kuwasiliana na Paypal wakakupa list ya vikwazo? Approach yako inaonekana more pro.
Unaweza kutushirikisha jinsi ulivyotengeneza wareness previously na uta file petition kwa namna gani?
Hili swala sio la kudeal na paypal, wao their system in already there fully functional, hawatokaa watoke kuja kuzungumza na banks zetu huku ziweze kuruhusu kupokea hela, hilo ni swala inabidi ku-address banks zilizopo nchini kukubali hizi transactions.
Na hiyo petition ya kufanyika whatsapp, whats the point? Hizi whatsapp groups mambo ya kushare contacts watu wengine its not a risk we are willing to take. A phone number is much more than just a number.
BOT ndio wale wale wazee wasiokuwa tayari kwa mabadiliko, wanahisi kama vijana watarahisishiwa kuishi tofauti na walivyoishi wao.Hatufanyi cyber activism mkuu, wala hatufanyi maandamano ya aina yoyote, na whats app ni kama njia rahisi ya kuweza wasiliana na kufikishiana taarifa kwa haraka na rahisi zaidi. Kabla ya whats app kulikuwaga na mailing list, ila technology imekuwa na kurahisishwa zaidi.
BOT wanaweza kuwa na sababu za kipindi hicho, na sasa mambo yamebadirika, miaka imeenda, ni muda wa kuongea nao waweze ruhusu paypal transactions kwa watanzania.
Kama unavyotafuta namba za huyo policy officer wa BOT, ndizo mbinu tutazotumia, kutafuta watu wa paypal wenyewe watuambie ni wapi wamekwamisha hili swala, kutafuta mabenki yatayokuwa tayari kujiunga na paypal BOT wakiruhusu na pia Kuongea na uongozi husika BOT/MOF ili waruhusu paypal. Chamuhimu ni kuongeana wadau wakubwa ambao wanaguswa ni hii issue, mpake pale BOT watakapofungua milango ya paypal.