HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
Naunga mkono hoja, binafsi Ni mhanga WA miaka nenda nenda Rudi, kazi zangu nyingi nauza nje, nipo registered kwenye Website flani kubwa Kama Freelancer! Nauza mzigo Na natakiwa nilipwe online kwa njia ya Paypal lakini haiwezekani, nimeshakosa pesa kibao Na kupoteza pesa kibao, nchi nyingine hawaruhusu kutumia Western Union kutuma pesa Africa, kwa sababu ya Frauds!.....lakini group ya Whatsapp unaweza kuwa jibu? Kwa nini kusiwe Na special thread hapa, watu wakawa wanatoa Mawazo Yao, Na wahusika wanaona, then kupitia hapa tunaweza ku- organize watu wachache Na kwenda kumwona ama Waziri wa fedha, BOT ama wabunge wachache wenye ushawishi huu ya hili, haiwezekani tuwe nyuma kwenye kila kitu!

Ebay dhl unamuomba seller, kwamba unataka tumia dhl akwambie itakuwa dollar ngapiKuhusu option ya tatu, ya DHL nimejaribu kununua kitu (sustain pedal ya kinanda kutoka ebay) lakini sijapata option ya kutumia dhl, kilichoandikwa ni standard int'l shipping, naomba msaada kwa hapa.
Ebay dhl unamuomba seller, kwamba unataka tumia dhl akwambie itakuwa dollar ngapi
Mkuu umekuwa ukitumia kununua vitu kwenye mitandao?
Wewe umeshawahi kununua kitu amazon au ebay? Lengo la swali hili ni ili unisaidie kwenye ishu ya shipping.
UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU
Kwa miaka mingi sasa tumekuwa tukiumia sana na hili swala la kutokuweza kupokea malipo kupitia paypal, binanfsi ni member wa paypal toka mwaka 2007, hadi leo ni miaka 8 mwendo ni ule ule wa kufanya matumizi tu, kupokea malipo imekuwa ni ndoto.
Muda umefika sasa wa kuungana ili sauti za vilio vyetu zisikike walau mwaka 2016 nasi tuanze nufaika na huduma hii.
Karibu tupange wote mikakati ya kuwezesha swala letu kushughulikiwa, kama tukiweza fika watu hamsini litakuwa jambo jema sana na litarahisisha mambo mengi.
Ntaanza kwa kutengeneza group whats app, 0713752285, tuma message paypal petition, ntakuadd kwenye group.
Kama haupo whats app, pm your number, ntakushirikisha kwenye kila hatua.
Hakuna kurudi nyuma hadi tufanikiwe.
Together we can.
Hatuhitaji maandamano ya kimtandao ili kufanikisha hili. That's a way too primitive. Naamini BOT wana sababu zilizowafanya then wasiruhusu hivu vitu. Kwa hiyo tunatakiwa ku address concerns zao na ku argue kwa nini kuwa na hizo service ni afya kwa taifa na pamoja tutafanya hili liwezekane
Juzi nimeomba kama kuna mtu ana contact za yule boss wa policy pale BOT bado sijapata na nazitafuta. Nadhani someone have to break the ice and do something.
I don't believe in cyber activism
Kwa kuanzia hivi haiwezekani kufungua account kenya ukaiunganisha na sim banking ukawa unaingiza pesa kwenye mpesa kutoka acc yako ya kenya unazituma tz na biashara ikaendelea wakati tukisubiri benki zetu kujiunga na paypal
Cha msingi uwe na Kenya National ID maana PayPal wataiomba siku moja!Kwa kuanzia hivi haiwezekani kufungua account kenya ukaiunganisha na sim banking ukawa unaingiza pesa kwenye mpesa kutoka acc yako ya kenya unazituma tz na biashara ikaendelea wakati tukisubiri benki zetu kujiunga na paypal
Hatuhitaji maandamano ya kimtandao ili kufanikisha hili. That's a way too primitive. Naamini BOT wana sababu zilizowafanya then wasiruhusu hivu vitu. Kwa hiyo tunatakiwa ku address concerns zao na ku argue kwa nini kuwa na hizo service ni afya kwa taifa na pamoja tutafanya hili liwezekane
Juzi nimeomba kama kuna mtu ana contact za yule boss wa policy pale BOT bado sijapata na nazitafuta. Nadhani someone have to break the ice and do something.
I don't believe in cyber activism
Cha msingi uwe na Kenya National ID maana PayPal wataiomba siku moja!
Na sim banking labda uweke Safcom then uwe unarusha kutoka Safcom kuja Vodacom!
Mkuu mbona hii issue iko simple sana tusiwaze tu Tax,tuangalie faida zake...Moja ya concern ya mataifa mengi hata hao walioruhusu ni jinsi ya kulipa kodi kwabiashara inayofanyika. Mengi ya makampuni hujisajili kwenye nchi au majimbo yenye kodi ndogo nje ya sehemu kuu wanayofanyia biashara. So how do we address that tax hole?
Nafikiri kuna Njia za Kuangalia kama ID ni Valid au Invalid.Paypal wanathibitisha vipi hujachakachua Kenya national ID?
Moja ya concern ya mataifa mengi hata hao walioruhusu ni jinsi ya kulipa kodi kwabiashara inayofanyika. Mengi ya makampuni hujisajili kwenye nchi au majimbo yenye kodi ndogo nje ya sehemu kuu wanayofanyia biashara. So how do we address that tax hole?