Paypal account Tanzania tunasubiri nini?

Serikali ya KIPUMBAVU SANA hii, wao wanawaza namna ya kumdhibit MBOWE NA CHADEMA tu. Mambo mengine yenye kuleta tija kwa wananchi na nchi wamelala usingizi. Nchi hii ni masikini kwa sababu ya hawa viongozi wa CCM..
 
gwakipanga,
Really sad, kwakweli changamoto hii ni kubwa sana. Ili update pesa ni lazima uwe mfanyabiashara mkubwa sasa hauwezi kujikuta tu in a day nawe umekuwa hivyo tunahitaji njia ya kujipatia malipo ambazo haziko completed.
Ila to be honesty najiuliza hawa wanaofanya kazi BOT ni this generation au watu wa zamani? Au kwakuwa wanamishahara mikubwa hawafikiri namna ya kukuza uchumi wa wananchi wote?
Tanzania is one of the amazing country to experience in the world.
 
Haya mambo tushaongea sana bado serikali yetu imelala.
Wako tayari tukose fedha za kigeni au pesa zetu ziende zikakatwe kodi Kenya kupitia Safaricom.
Ndio maana sisi bado ni LDC na Kenya hawapo huko LDC.
Ajabu sana.. Yaani inabidi nicheze pata potea. Mgeni anafanya booking ya kazi na kukubaliana nae alipe akifika japo anaweza badili maamuzi hata akiwa airport akikutana na lower bid on the same service.
Inakatisha tamaa ila tutafika tu
 
Ajabu sana.. Yaani inabidi nicheze pata potea. Mgeni anafanya booking ya kazi na kukubaliana nae alipe akifika japo anaweza badili maamuzi hata akiwa airport akikutana na lower bid on the same service.
Inakatisha tamaa ila tutafika tu
Kama wewe ni tour operator, kuna hii kampuni inaitwa (Direct pay online) mgeni anaweza kulipa online and offline.. jaribu kuwatafuta ni wazuri..Mimi ndio nawatumia kama mgeni anataka kunilipa online uwanamtumia email transaction .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua line ya Safaricom(Kenya) iliyo na MPESA fungua account nchi yako andika Kenya..link PayPal to your MPESA account.
Pesa itakuwa inaingia direct kwenye MPESA then fanya transfer..
Ila transfer fees zipo juu kweli mimi mwenyewe nilikuwa na changamoto kama hiyo..
Napataje iyo laini ya safaricom ndugu
 
Back
Top Bottom