Paypal account Tanzania tunasubiri nini?

talentbrain

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
1,188
759
Habari zenu wadau wa Uchumi na biashara.

Nielekee kwenye mada moja kwa moja. Nimejikuta nastuck hapa maana kuna biashara naifanya ambapo watu wanabook online na kulipa then nawahudumia. Kumetokea na shida kwenye kupokea malipo yangu kwani ni njia mbili tu zinazotakiwa.

1. Kulipwa kupitia bank ambayo mnaelewa fees zake na ikizingatiwa nimeuza huduma kwa bei ndogo ili kuvutia wateja. Na malipo yanatolewa kwa mwezi na yazidi dollar 50.

2. Kulipwa kwa PayPal ambayo ambayo haina limitation ya time na kiwango cha pesa. Bahati mbaya Tanzania huduma hii ni not applicable.

Wenzangu mnaofanya biashara online mnapokea vipi malipo yenu kwa haraka na gharama nafuu?

Vipi nikidanganya na kufungua account ya PayPal kama Niko nchi jirani account itakubali na itakuwa inapokea malipo bila tatizo?

Naomba msaada maana pesa yangu IPO pending online.
 
@2Kiziwanda chema,
Kazi kweli kweli! Yeah sijui nafanyaje maana hata hiyo line ya safaricom naitia wapi huku Zanzibar?
 
Sina uhakika, kuna watalamu wanajua nini wanafanya kukwepa hicho kikwazo cha passport
Ngoja tusubiri majibu zaid
Nami nasubiri maana kusubiri pesa mwezi mzima? Daaah maana ninalipa watu wanaofanya hii kazi. Si nitashindwa Ku run biashara yangu?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom