Toka tulivyoanza kuimba kuhusu PayPal wangekuwa watu wakufanyia kazi nadhani mpaka sasa ingekuwa mtoto anaenda shule, watendaji wetu wanaitaji kusukumwa kama anavyofanya rais, "kwanini ujafanya, lini utafanya" hivyo ndiyo wanavyopende kukemewa kama ng'ombe na kudhalilishwa ndiyo utakuta kesho wamefanya. Toka wadau waongelee kuhusu PayPal kama BOT wangekuwa wanalifanyia kazi basi wafanyabiashara Wa online ingekuwa rahisi kwao kuendesha biashara. Sijui ni kwanini wafanyabiashara wanavyo orodhesha idara na taasisi zinazokwamisha biashara, wasiishie kutaja tu TBS, tmda,OSHA NEMC, pia BOT ni kikwazo kwa wafanyabiashara Wa online business, bot wajitafakari kama rais tumechelewa na watendaji Wa ofisi za umma ni kikwazo kwa kuto fanyia kazi Naoni ya wadau, maana vichwa vyao vimeshaka kwamba mwenye kutoa maoni ni rais to. BOT fanyieni kazi swala LA PayPal