talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,188
- 759
- Thread starter
- #61
Kila kampuni ya usafirishaji bidhaa kwenda nje iwe posta au dhl nao huwa wanatoa muda wa kufikisha bidhaa kwa mteja. Hivyo hakuna MTU anaenunua bidhaa ulaya au marekani kutoka hapa akategemea ndani ya siku mbili mzigo umfikie. Hivyo ni laIma kuwa mkweli kwa wateja wako.Nna swali la ufahamu...mfano unataka kumuuzia mtalii kitu (physical good) na uko bongo na yeye yupo ulaya, je usafirishaji unakuaje? unatumia dhl au posta? kama posta delays una deal nazo vipi?