Paypal account Tanzania tunasubiri nini?

Nna swali la ufahamu...mfano unataka kumuuzia mtalii kitu (physical good) na uko bongo na yeye yupo ulaya, je usafirishaji unakuaje? unatumia dhl au posta? kama posta delays una deal nazo vipi?
Kila kampuni ya usafirishaji bidhaa kwenda nje iwe posta au dhl nao huwa wanatoa muda wa kufikisha bidhaa kwa mteja. Hivyo hakuna MTU anaenunua bidhaa ulaya au marekani kutoka hapa akategemea ndani ya siku mbili mzigo umfikie. Hivyo ni laIma kuwa mkweli kwa wateja wako.
 
Sijasema ujiingize kwenye biashara ya Bitcoin ila nmesema utumia bitcoin kama medium of exchange...

Japo ili utumie bitcoin kama medium of exchange lazima uwe na knowledge ya buy low and sell high...

Yaani kutoka Paypal mpaka unapata cash zako inaweza isichukue hata 30 minutes... talentbrain,
 
talentbrain, Shukran mkuu.

Kawaida unatumia ems au posta kawaida? Au njia gani ya posta unatumia frequently?

Je inatumia mda gani mzigo kumfikia mteja?
 
Boss Jaribu kutumia hizi payments method naona Merchant wengi wanazitumia... Skrill, Neteller na Payoneer hii ya mwisho nzuri kama unafanyia mambo yako Amazon ndio payment method yako safi na salama..
 
Toka tulivyoanza kuimba kuhusu PayPal wangekuwa watu wakufanyia kazi nadhani mpaka sasa ingekuwa mtoto anaenda shule, watendaji wetu wanaitaji kusukumwa kama anavyofanya rais, "kwanini ujafanya, lini utafanya" hivyo ndiyo wanavyopende kukemewa kama ng'ombe na kudhalilishwa ndiyo utakuta kesho wamefanya. Toka wadau waongelee kuhusu PayPal kama BOT wangekuwa wanalifanyia kazi basi wafanyabiashara Wa online ingekuwa rahisi kwao kuendesha biashara. Sijui ni kwanini wafanyabiashara wanavyo orodhesha idara na taasisi zinazokwamisha biashara, wasiishie kutaja tu TBS, tmda,OSHA NEMC, pia BOT ni kikwazo kwa wafanyabiashara Wa online business, bot wajitafakari kama rais tumechelewa na watendaji Wa ofisi za umma ni kikwazo kwa kuto fanyia kazi Naoni ya wadau, maana vichwa vyao vimeshaka kwamba mwenye kutoa maoni ni rais to. BOT fanyieni kazi swala LA PayPal
 
Haya mambo tushaongea sana bado serikali yetu imelala.
Wako tayari tukose fedha za kigeni au pesa zetu ziende zikakatwe kodi Kenya kupitia Safaricom.
Ndio maana sisi bado ni LDC na Kenya hawapo huko LDC.
 
talentbrain,
Tumia Payoneer ndugu huta kuja jutia, fee yake ndogo sana na wanakupa Mastercard buri kabisa then, wewe ni kuchomoa pesa yako kupitia ATM zinazokubali mastercard zote hapa Tanzania, waweza tumia Link hio, kama una maswali zaidi uliza au njoo PM nikueleze zaidi

 
Hao safaricom wana rate za ajabu sana.. Nimejuta kupitisha hela zangu huko! Next time nitapitisha bitcoin tu!
Haya mambo tushaongea sana bado serikali yetu imelala.
Wako tayari tukose fedha za kigeni au pesa zetu ziende zikakatwe kodi Kenya kupitia Safaricom.
Ndio maana sisi bado ni LDC na Kenya hawapo huko LDC.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom