nimefanikiwa mkuuView attachment 469024 View attachment 469024 Mkuu! Hii ni screen shot ambayo inakuelekeza hatua kwa hatua namna ya ku activate card yako!
Kama ikiwa haionekani vizuri, nakuwekea link hapo chini ambayo itaku direct kwenye hiyo page Na utafata maelekezo Na Ku activate card yako bila tatizo.
How Do I Activate My Card?
View attachment 469026
Card yako ikiwa activated watakuletea message inbox ambayo itakua Kama hivyo!
Ukifanikiwa lete mrejesho, pia ukikwama lete mrejesho Ili nikuelekeze uwasiliane na live chat Yao kwa usaidizi wa papo kwa papo!
Mkuu bado sijakuelewa, hasa jinsi ya kuweka pesa!! Mfano nna laki moja ta tz nataka kuweka then niitumie kununua kitu alibaba au ebay!! Nafanyaje sijakupata hapoMkuu! Payoneer ilianzishwa kwa minajiri ya aina nyingi.
kubwa kwa ajiri ya kuwasaidia watu ambao hufanya biashara Mtandaoni, hivyo kurahisisha malipo mbalimbali kwa njia za mtandao!
Unapo miliki Payoneer account, automatically unakua na online Bank account yako America, toka kwa Bank ya Kimarekani inayoitwa 1st Century Bank, ambao ndo hujulikana Kama Payoneer!
Ukienda account setting kwenye Payoneer Account yako, utaona Bank Account yako, Ni Bank account Kama account yoyote unayoweza kuwa nayo kwenye local bank, so unaweza kuingiza pesa kutokea kwenye account yako Payoneer Kama vile unaweza Ku transfer pesa toka Account moja ya bank kwenda nyingine, ukishaingiza pesa utatumiwa email kukujulisha pesa iloingia!
So unaweza kuendelea Na process za manunuzi!
Mkuu! Lengo la Jamaa walioanzisha Payoneer ni kurahisisha malipo kwa Biashara za mtandaoni, kwa maana ya lets say uko Bongo na umeuza Asali Canada, sasa Client anapotaka kukulipa huwa wanachagua njia salama za malipo Ili wasije kupigwa, na hata wakipigwa ni rahisi Wao pesa Yao kurudi coz huduma hizi za kipesa za mtandaoni nyingi zina bima hivyo Wao huwa comfortable kutumia huduma Kama Payoneer au PayPal kufanya malipo!Mkuu bado sijakuelewa, hasa jinsi ya kuweka pesa!! Mfano nna laki moja ta tz nataka kuweka then niitumie kununua kitu alibaba au ebay!! Nafanyaje sijakupata hapo
Shukrani sana mkuu!!Mkuu! Lengo la Jamaa walioanzisha Payoneer ni kurahisisha malipo kwa Biashara za mtandaoni, kwa maana ya lets say uko Bongo na umeuza Asali Canada, sasa Client anapotaka kukulipa huwa wanachagua njia salama za malipo Ili wasije kupigwa, na hata wakipigwa ni rahisi Wao pesa Yao kurudi coz huduma hizi za kipesa za mtandaoni nyingi zina bima hivyo Wao huwa comfortable kutumia huduma Kama Payoneer au PayPal kufanya malipo!
Kwa lengo tajwa hapo juu, huduma hii inakupa options 2, punde unapolipwa pesa yako unaweza kui withdraw kwenye ATM yoyote inayo support Master card hii ni Worldwide! Means hata ukawa safarini lets say South Africa, unaweza kutoa pesa huko huko Si lazima uwe Bongo!
Nyingine unaweza kutoa pesa kutoka kwenye Payoneer account yako uka transfer kwenda kwa local bank ambapo Una account huko!
Kwa Maelezo hayo Ili kukujibu swala lako, ni rahisi Kama Una local bank account so utaweza Ku transfer pesa kwenda Payoneer then kupitia Payoneer ukafanya manunuzi!
Inawezekana Mkuu! Kwa Ku transfer hiyo 500,000 kwenda kwenye Payoneer account yako! Na ukafanya manunuzi mtandaoni!Kwa hiyo mkuu, mimi binafsi siwezi kuweka pesa kwenye account yangu ya payoneer tofauti na kulipwa baada ya kuuza kitu? Let say nina laki tano cash nataka niiweke kwenye account yangu ya payoneer, je hii inawezekana??
Asante sana mkuu, ngoja nifanye application nwInawezekana Mkuu! Kwa Ku transfer hiyo 500,000 kwenda kwenye Payoneer account yako! Na ukafanya manunuzi mtandaoni!
Kumbuka Payoneer ni sawa na Bank account nyingine, utofauti ni kuwa hii ni online banking!
Na kwa vile ni free unaweza kufanya registration na uka apply card yako! Inaweza kutokea siku unahitaji kununua kitu mtandaoni ikakurahisishia!
Au uko na friend nje ya nchi akakutumia pesa kupitia Payoneer!
bro haujajibu swali la msingi la jamaa......Mkuu! Lengo la Jamaa walioanzisha Payoneer ni kurahisisha malipo kwa Biashara za mtandaoni, kwa maana ya lets say uko Bongo na umeuza Asali Canada, sasa Client anapotaka kukulipa huwa wanachagua njia salama za malipo Ili wasije kupigwa, na hata wakipigwa ni rahisi Wao pesa Yao kurudi coz huduma hizi za kipesa za mtandaoni nyingi zina bima hivyo Wao huwa comfortable kutumia huduma Kama Payoneer au PayPal kufanya malipo!
Kwa lengo tajwa hapo juu, huduma hii inakupa options 2, punde unapolipwa pesa yako unaweza kui withdraw kwenye ATM yoyote inayo support Master card hii ni Worldwide! Means hata ukawa safarini lets say South Africa, unaweza kutoa pesa huko huko Si lazima uwe Bongo!
Nyingine unaweza kutoa pesa kutoka kwenye Payoneer account yako uka transfer kwenda kwa local bank ambapo Una account huko!
Kwa Maelezo hayo Ili kukujibu swala lako, ni rahisi Kama Una local bank account so utaweza Ku transfer pesa kwenda Payoneer then kupitia Payoneer ukafanya manunuzi!
If your Google Adsense account does not have the option to withdraw to a US Bank Account, then itakua ngumu kwako.mkuu hiyo online bank imeunganishwa na AdSense
na je endapo nitajiunga nitaipataje master card yao na gharama zao zikoje
Ungepitia post za juu kuna majibu Mkuu!bro haujajibu swali la msingi la jamaa......
Swali ni kwamba ukiwa na hiyo akaunti ya payoneer , nje na kiitumia kulipwa unapopiga dili na watu wa nje, je, unaweza kuitumia kufanya malipo katika sites kama e-bay,alibaba, na amazon unaponunua vitu au bidhaa za kawaida kama sim....radio....tv.....begi.
Na kama ni inawezekana ....je hii huduma ipo popula duniani kiasi kwamba naweza kuachana na paypal ambayo kwa hapa bongo kuitengeneza inataka urasimu sana wakuunganisha sijui account ya CRDB mara sijui codes gani......mara sijui ufanye nini kitu.ambacho huwatia uvivu kujisajiri watz wengi ambao wanataka wanunue vitu nje ya nchi.
Asante mkuuHongera Mkuu!