imeshuka kwa wale wenye mshahara Below 7k, ukiwa above ya hapo maumivu kaka. nenda kwenye TRA website kwenye paye calculator type your salary then compare na uliyo katwa mwezi ulio pita kama ziko sawa. if and only your salary is above 7k

Kiwango cha juu cha kozi kwa mhahara unazidi TZs 720,000 ni 30%; sasa ukisema kodi imeongezeka unamaani kiwango cha 30% sicho kinachotumika ni zaidi ya hicho..........kweli haimo ndani yako