Pawepo na skuli za ufundi za msingi.

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,700
1,721
Kwa kuwa sasa pana skuli za awali "chekechea" nadhani ni jambo la busara kwa serikali kutenga baadhi ya skuli za msingi kuwa za ufundi. Hii itamwezesha mtoto aliye na kipaji cha ufundi kukiendeleza na taifa kupata wataalam wenye vipaji.
 
Back
Top Bottom