Paul Sarwatt: Simulizi halisia bomu la Soweto Arusha

Paul Sarwatt: Simulizi halisia bomu la Soweto Arusha

Halafu wapumbavu wachache wanasema mpango umeratibiwa na chadema msitufanye sisi watanzania ni wajinga kiasi hicho lakini kumbukeni kitu kimoja enyi watawala mwisho wa ubaya ni aibu.
 
pole sana ndugu yangu nakufahamu sana na watoto wako nawafahamu kwa sababu nilifika kwenye msiba wa mama yako mwaka jana nyumbani kwako nakupa pole sana rafiki yangu mpendwa kwa hayo ulioweza shuhudia ila Mungu atatoa adhabu hapa hapa duniani
 
Pole sana .Ni tukio la kusikitisha na wakati huohuo maneno ya baadhi ya viongozi wetu yanatoa taswira kuwa sababu waliojeruhiwa au kufa ni waenzi wachadema basi mawili siyo watanzania au hawana uhalali wakuwa watanzania na pili labda wamewafananisha na kuku kwamba damu yao haina thamani.
Mwenye enzi Mungu ni wa ajabu kwani katika waliopoteza maisha(ALLAH TWAOMBA UWAREHEMU) wapo watoto ambao wazazi wao ni manazi wa ccm."chuki mbaya yakudhuru nawe mwenyewe".
 
Pole sana mdau tupo pamoja!

Hivi jamani, ni kweli Pinda ametoa go ahead polisi waendelee kuwapiga wananchi au nimemquote vibaya? Kasema polisi wawashughulikia wakorofi? Hivi polisi wanameasure vipi ukorofi?? Anyway, ni kiongozi mkuu sana siwezi kuamini kama kweli kasema, labda wamemquote vibaya!!!
 
halafu wajinga kadhaa wanasema mambo ya ajabu sana

ndugu,mjinga atabaki kuwa mjingatu,watu wa arusha ndio wanajua ukweli sio wengine wanao sema kwa ushabiki wa kijinga,asante ndugu mwandishi kwa kuongea ukweli na kuondoa ukakasi unao fanywa na watu wa chama cha mapinduzi,
 
kama lema aliweza kujua mapema kiasi hicho kuwa ni bomu limelipuka basi akamatwe maana atakuwu na taarifa nyingi zilizojificha. Haiwezekani akawa wa kwanza kusanuka kuwa ni bomu kama hakuwa muhusika wa huo mlipuko. Hata historia yake ya nyuma siyo nzuri kabisa.

hizi ndio akili za wana ccm,
 
Kama lema aliweza kujua mapema kiasi hicho kuwa ni bomu limelipuka basi akamatwe maana atakuwu na taarifa nyingi zilizojificha. Haiwezekani akawa wa kwanza kusanuka kuwa ni bomu kama hakuwa muhusika wa huo mlipuko. Hata historia yake ya nyuma siyo nzuri kabisa.

Kwahiyo uitaka ajue ni shambulio la nyuki ndiyo limetokea wenye kishindo kama kile na siyo bomu. Nyie ndiyo mnatuongezea hasira kwa serikali yetu juu ya tukio hili.
 
Kama lema aliweza kujua mapema kiasi hicho kuwa ni bomu limelipuka basi akamatwe maana atakuwu na taarifa nyingi zilizojificha. Haiwezekani akawa wa kwanza kusanuka kuwa ni bomu kama hakuwa muhusika wa huo mlipuko. Hata historia yake ya nyuma siyo nzuri kabisa.
hUWEZI TOA HUKUMU HARAKA KIASI HICHO. INGEKUWA MIMI NIMESEMA NI JIWE LIMEANGUKA JUU YA JUKWAA WALILOKUWA WAMESIMAMA UNGENAMBIA PIA NIMEKOSEA NA KUTAKIWA KUKAMATWA?
 
Gari la Polisi lililoondoka katika eneo la tukio kwa kasi lilielekea wapi? Kwa nini liliondoka muda huo kwa kasi hiyo? Au ndilo lililomchukua mrusha bomu?

Chagonja ajibu: Magari mangapi ya polisi yalikuwa eneo la tukio? Kwa nini hili moja liliondoika pale kwa kasi ile? Na lilielekea wapi? Na kwa maagizo ya nani?

Swali kwa mwandishi: Watu au mashuhuda wanaeleza waliona mfuko mweusi ukipaa kuelekea eneo la jukwaa la mkutano. Je, gari la polisi lililoondoka pale kwa kasi,liliondokea upande gani, ni ule ambako bomu lilitokea?

TAFADHARI: Tunaomba majibu pasipo kumung'unya maneno.
 
Kama lema aliweza kujua mapema kiasi hicho kuwa ni bomu limelipuka basi akamatwe maana atakuwu na taarifa nyingi zilizojificha. Haiwezekani akawa wa kwanza kusanuka kuwa ni bomu kama hakuwa muhusika wa huo mlipuko. Hata historia yake ya nyuma siyo nzuri kabisa.

kungekuwa hamna ban humu,kwa mara ya kwanza ningekutukana tusi ambalo usingelisahau mpaka unalalia mkono.
 
kwa maelezo hayo c siri kila kit kilikiwa ni pre planned....so sad.poleni sana wandungu.
 
Kwa nini mitandao yote ya simu ilijam mda ule wa shambulio..this was a well organised terror act.
 
Ni moja ya simulizi ya kuhuzunisha na kielelezo namna gani kuna watu wachache ktk utawala wa nchi hii ktk kulinda maslahi yao na mafisadi wachache wapo tayari kuwaua watanzania wenzao ama kusababisha machafuko ktk nchi yetu!
 
Umesema: "Nilipofika kwenye gari niliona kwa mbali gari la polisi pia likiondoka kwa kasi eneo hilo, nami pia niliondoa gari hadi baa maarufu ya Arusha Night Park na kuliegesha hapo. "

Pia "
Kila moja alikuwa na ushuhuda wake, wengine walidai kumwona aliyerusha bomu likiwa katika mfuko mweusi wa ‘plastiki' (rambo), wengine walidai baada ya kutupa alikimbia na wananchi walipojaribu kumfukuza, polisi waliwarushia mabomu ya machozi, wengine walidai alikimbia na kuingia ndani gari jeupe aina ya Landrover TDI. Kila mmoja alikuwa na hadithi tofauti."

Mtoto aliyenukuwa na gazeti la mwananchi alisema polisi ndio waliowapiga risasi.

Hadi saa 4 usiku hakukuwa na kiongozi yeyote wa serikali hospitalii kuwajulia hali wahanga wa bomu.

Baadae zitakoka kauli za kiitikadi kutoka kwa Lukuvi, Nape, Pinda na wabunge wa CCM wakisema CDM wamejilipua wenye!

Bomu lilipolipuka Kanisani, walifika na kufunika chanzo chake haraka. Rais aliahirisha safari!!!

TUWE MAKNI, TULIJARIBU UDINI SIKU MMEONA NUSURA UTUGAWE. SASA UGAIDI TENA NDIO MBYA HASA PALE IMANI YETU WANACHI (WENYE NCHI) ITAKAPOKOMA KWA DOLA, WANANCHI WATATAFUTA NJIA MBADALA ZA KUJILINDA.

PIA TUSISAHAU KWA SASA TZ INA MAADUI WENGI (Malawa na Rwanda); pia AL-Shabab wanatafuta kujiimarisha. vitendo vya aina hii vinaweza kuwashawishi watu kirahisi kushirikiana na maadui.!
 
Kama lema aliweza kujua mapema kiasi hicho kuwa ni bomu limelipuka basi akamatwe maana atakuwu na taarifa nyingi zilizojificha. Haiwezekani akawa wa kwanza kusanuka kuwa ni bomu kama hakuwa muhusika wa huo mlipuko. Hata historia yake ya nyuma siyo nzuri kabisa.

mshenzi wewe unadhani kwa sababu akili yako ni mbili basi wote wapo hvy? hv huwezi jua ni bomu wakati umeona mripuko na majeruhi wakiwa wamelala pale?, basi we ni hayawani!
niambie kama ni wewe ungejua ni nn labda? sigara au ushuzi?
pumbavu wewe, watu tunasikitika ndugu zetu wameumia we unaleta ushuzi hapa nyambafu wee!
 
Umesema: "
Nilipofika kwenye gari niliona kwa mbali gari la polisi pia likiondoka kwa kasi eneo hilo, nami pia niliondoa gari hadi baa maarufu ya Arusha Night Park na kuliegesha hapo. "

Pia "
Kila moja alikuwa na ushuhuda wake, wengine walidai kumwona aliyerusha bomu likiwa katika mfuko mweusi wa ‘plastiki' (rambo), wengine walidai baada ya kutupa alikimbia na wananchi walipojaribu kumfukuza, polisi waliwarushia mabomu ya machozi, wengine walidai alikimbia na kuingia ndani gari jeupe aina ya Landrover TDI. Kila mmoja alikuwa na hadithi tofauti."

Mtoto aliyenukuwa na gazeti la mwananchi alisema polisi ndio waliowapiga risasi.

Hadi saa 4 usiku hakukuwa na kiongozi yeyote wa serikali hospitalii kuwajulia hali wahanga wa bomu.

Baadae zitakoka kauli za kiitikadi kutoka kwa Lukuvi, Nape, Pinda na wabunge wa CCM wakisema CDM wamejilipua wenye!

Bomu lilipolipuka Kanisani, walifika na kufunika chanzo chake haraka. Rais aliahirisha safari!!!

TUWE MAKNI, TULIJARIBU UDINI SIKU MMEONA NUSURA UTUGAWE. SASA UGAIDI TENA NDIO MBYA HASA PALE IMANI YETU WANACHI (WENYE NCHI) ITAKAPOKOMA KWA DOLA, WANANCHI WATATAFUTA NJIA MBADALA ZA KUJILINDA.

PIA TUSISAHAU KWA SASA TZ INA MAADUI WENGI (Malawa na Rwanda); pia AL-Shabab wanatafuta kujiimarisha. vitendo vya aina hii vinaweza kuwashawishi watu kirahisi kushirikiana na maadui.!

Na si PINDA alisema BOMU limetengezwa CHINA; Sasa CHADEMA walikwenda CHINA au NCHEMBA ? sababu alikuwa CHINA pia...

Ni kwanini hawashikwi na their Double Standards???
 
Kama lema aliweza kujua mapema kiasi hicho kuwa ni bomu limelipuka basi akamatwe maana atakuwu na taarifa nyingi zilizojificha. Haiwezekani akawa wa kwanza kusanuka kuwa ni bomu kama hakuwa muhusika wa huo mlipuko. Hata historia yake ya nyuma siyo nzuri kabisa.

We kama kusoma hujui hata picha????
Lema kasikia mlipuko then watu damu zimewatapakaa, kweli asijue kama ni bomu???
 
Kuna jambo halijasemwa na wanahabari wetu aidha wanaogopa ama wamewekwa sawa na dola ni kwamba shambulio hilo lilimlenga moja kwa moja mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini.

Kama hujuma hiyo ingefanikiwa,naamini machafuko ambayo yangeibuka hata huo ugeni wa Obama ungeharishwa. Ni matumaini yangu baada ya kuondoka ugeni wa Obama na kumalizika kwa bunge la bajeti,JK atafanya mabadiliko makubwa ktk safu ya uongozi wa taasisi za usalama na baraza la mawaziri!!
 
Kwa kauli yako unaonekana kama unamuona Mkulu hahusiki na hili na ndio maana unaamini kuwa ataweza kubadilisha safu ya uongozi. Wengi wanadhani kuwa unyama huu unafanyika na Mkulu hajui kitu, huu ni utekelezaji wa sera mpya za chama tawala chini ya mwenyekiti wake.

You should have known this by now, na waliofanya hayo are soon going to be rewarded kwa kupewa vyeo. Hiyo ndio motivation yao kwa sasa.
 
Back
Top Bottom