Paul Sarwatt: Simulizi halisia bomu la Soweto Arusha

Paul Sarwatt: Simulizi halisia bomu la Soweto Arusha

Kifo cha nyani miti yote huteleza,
ccm kimepoteza uhalali wa kuwepo madarakani (serikali sio ya Watz tena), sasa tunapaswa kuiondosha, na kuweka mbadala wake. Kusubiri 2015 yaweza kuwa ni kuruhusu mauaji zaidi.

sawa tumekuelewa mangi
 
Paul Sarwatt

NAANZA kuandika simulizi hii kwa kumshukuru Mungu kwanza, kwa kuninusuru na mlipuko wa bomu uliotokea Jumamosi ya Juni 15, mwaka huu, katika mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kuhitimisha kampeni za udiwani wa katika kata nne za ndani ya Jiji la Arusha.

Nilijaribu kutoa kamera nipate picha ya mahali pale, lakini muda huo huo Polisi walianza kurusha mabomu ya kutoa machozi, na nikaanza kusikia milio ya risasi. Ilikuwa ni tafrani ambayo sikuwahi kuishuhudia.

Bomu lilitua karibu yangu na kulipuka, nilikimbilia eneo la wazi na wakati huo viongozi na makada wa CHADEMA walikuwa wanajaribu kuwaokoa majeruhi kuwapakia katika magari na kuwakimbiza hospitali.



Nilitafakari sana juu ya hatua ya polisi kurusha mabomu wakati walipaswa kutoa msaada wa kuokoa watu na kuwawahisha hospitali, sikupata jibu hadi wakati naandika simulizi hii.


Hadi saa 4:30 usiku, majeruhi wote walikuwa wamepata huduma ya kwanza katika hospitali za Mount Meru, Selian na St. Elizabeth, na shughuli zote zilifanyika bila kiongozi hata moja wa Serikali kutokea.

Ningependa kujua pia kw haraka kabisa ni kwanini baadhi ya nchi zimekataa kushirikiana na Tanzania katika uchunguzi wa suala hili,kuna nini wamekiona na ni nchi gani hizo....hii ni kutokana na matamshi ya Chagonja siku ya pili tu ya tukio kwenye taarifa ya habari ya chaneel 10
 
tulivyoyashangaa ya serikali ya Al Asadi wa Syria, na Ghadafi wa Libya, sasa yamebisha hodi mlangoni kwetu
 
bomu linapigwa na mtu msiyemfahamu halafu nyie kama walinzi wa amani mnalipua mabomu na risasi?
kweli tanzania zaidi ya uijuavyo.
kama alikufa balali na kujizika mwenyewe sishangai kusikia kuwa lile bomu lilijileta lenyewe.
 
mshenzi wewe unadhani kwa sababu akili yako ni mbili basi wote wapo hvy? hv huwezi jua ni bomu wakati umeona mripuko na majeruhi wakiwa wamelala pale?, basi we ni hayawani!
niambie kama ni wewe ungejua ni nn labda? sigara au ushuzi?
pumbavu wewe, watu tunasikitika ndugu zetu wameumia we unaleta ushuzi hapa nyambafu wee!

Dada mbona povu linakutoka hivyo? Au eewe ndio ulirusha bomu nini? Ukweli sikuzote unauma dada yangu.na wachawi ndio wanalia kuliko watu wote msibani.
 
Ni lini CCM na utawala wake wa kishetani utaona aibu? Damu za watu mnazochezea kwa garama ya walipa kodi na mali za asili za taifa letu vitawageukia. Ni kweli kwa binadamu: mnyonge hana haki, ila kwa Mungu anayo. Ipo siku hawa wanaokishabikia hiki chama cha kishetani watajifunza. Hayo maboni kuna siku yatawalipukia mkiwa njiani kwenda kuwalipua wenzenu. Mungu yupo subirini mtaona.
 
wajinga wachache wanatumika kwa ujira mdogo kuonyesha umma tukio hili limeratibiwa na chadema, wakati wana arusha wote tunajua CCM ni wausika na polis wao
 
Nilipofika kwenye gari niliona kwa mbali gari la polisi pia likiondoka kwa kasi eneo hilo, nami pia niliondoa gari hadi baa maarufu ya Arusha Night Park na kuliegesha hapo

hapa ndo ulipo ushahidi wa tukio lote asante shuhuda mr. paul
 
Kama lema aliweza kujua mapema kiasi hicho kuwa ni bomu limelipuka basi akamatwe maana atakuwu na taarifa nyingi zilizojificha. Haiwezekani akawa wa kwanza kusanuka kuwa ni bomu kama hakuwa muhusika wa huo mlipuko. Hata historia yake ya nyuma siyo nzuri kabisa.

acha ujinga wewe kwa hili huna haja ya kuhadithiwa nenda youtube kaangalie ile video ya mlipuko iko wazi, kila aliyefika mbele aliziona damu za watu zimemwagika kama ni wewe ungehisi nini? wakati mwingine uwe unafikirisha hiyo akili yako nyambafu
 
Bomu hilo liliratibiwa na Mwigulu Nchemba na genge lake la majambazi ndani ya jeshi la polisi na CCM. Ndiyo maana Mwigulu kafurahia hivyo vifo, na kasikitika kwa nini Mbowe na Lema hawakufa. Ipo siku atafikishwa mbele ya vyombo vya sheria.
 
Back
Top Bottom