Paul Mashauri asante kwa kutufundisha hili

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
783
Maisha ni magumu usikate tamaa hata siku moja pambana ondoa uoga hii ya paul mashauri imeninspire sana
IMG-20180213-WA0024.jpg
 
Hii ni kwa wachaga tu ,ungeitwa masanja asingekupa hata sent tano na matangazo ungelipia
 
Maisha ni magumu usikate tamaa hata siku moja pambana ondoa uoga hii ya paul mashauri imeninspire sanaView attachment 695348
Hawa akina Mashauri ni wazuri sana ktk kutafuta public attention kwa kutumia watu maarufu na waliofanikiwa kama akina Mengi! Ni kweli Paul Mashauri ni fighter lakini pia ni mzuri ktk ku-polish mambo ili uweze kuona kuwa he is intelligent na amefanikiwa! Deep down he knows kuwa pale Millennium Business Park alianzisha biashara ya Magazeti (Gazeti LA Familia) ambalo alifeli vibaya sana na ile biashara haikuwa yake per se but kuna MTU alimbeba akidhani ana potential business acumen but the opposite was true! Ndipo Paul Mashauri akaja na East Africa Speakers Bureau (EASB) ambayo alikuwa akipitapita kuomba sponsorship kwa watu akiwemo Reginald Mengi na ndio hii amejaribu kui-polish ili ku-seek attention kwa watu "mediocres"! Paul Mashauri you have to know that there are people who make good Cashflows but quietly! Tatizo lako ni kuwa unapenda sana kupiga kelele nyingi hata kwa mafanikio kidogo!
 
Lazima ajitangaze ndo mbinu zenyewe hizo na hakuna namna, ulitaka akae kimya?
 
Hakuna kitu kibaya kama kuwafuata hawa "Motivational speakers" wanakuteka akili na hizo story zao haziishagi, utanunua vitabu na kwenda semina mpaka ukome
 
Sema hapo FURSA SIO YEYE, BALI FURSA NI KUJUANA NA WATU KAMA MENGI, BAKHRESA NA MO DEWJI...!!!! Hata mimi nikijuana nao natoka. Sio kwa kujikomba bali kuwapa ideas za kujenga. But leo mimi hta nikiwa na idea, kumuona Mengi ni ndoto. Ni ishu nzito kuliko hata kumuona Magu.
 
Hakuna kitu kibaya kama kuwafuata hawa "Motivational speakers" wanakuteka akili na hizo story zao haziishagi, utanunua vitabu na kwenda semina mpaka ukome
Tena wabongo kwanza waongo wanakupiga shule afu wanakuuzia kitabu na CD.

Afu wabinafsi balaa nishawai kuwafuata wawili usiombee wanachokihubiri ni tofauti na wanachokifanga
 
Back
Top Bottom