CHADEMA na ACT fuateni nyayo za Makonda kila aendako

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,404
15,988
Kwamba kila makonda anakopita na kuweka mikutano yake na ninyi kesho yake njooni itishe mkutano wa hadhara kisha mzodoeni na kuwaeleza wananchi kuwa makonda na CCM wanawatapeli

Msikaee na kumungalia tu akipita huku na kule kuongea na wananchi Ni wasi jamaa anakubalika sana na kupendwa . Sasa chadema na ninyi mnachoweza kufanya Ni kumuaribia makonda na ccm yake na kuwaeleza hasara kubwa na ndogo zinazo sababishwa na CCM

Mnaweza kuongelea haya

~ Suala la mfumuko wa Bei

~ Gahrama za maisha kuwa juu

~ Elimu ya kitapeli inayo tolewa na CCM

~ Umuhimu wa kuwa na katiba mpya na Bora kwa kutoa elimu

~ watu wanaopotea kila kukicha

~ utekaji nyara kushamiri
~ ufisadi wa kutisha unaofanywa na maafisa wa serekali
~ ukosefu wa ajira
~ ucheleweshaji wa ]miradi ya watangulizi

~. Ukosefu wa vifaa tiba na wataalmu

Hiyo mbinu nimewapa tu ili msije kusema hatukusema maana naona makonda anazidi kuchanya mbugu na kuondoka na kijiji
 
Back
Top Bottom