Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,501
- 6,185
Msukuma piga kazi, aleyommba gekke nkoi makonda piga kazi, washikishe adabu wanaovuruga amani ya Nchi na kuleta udini
Anapendwa na wajinga ambao ndiy mtaji wa chama chakeHii analysis umeifanyia wapi kuwa makonda hapendwi,kuanzisha uzi wa kumponda ndo kipimo cha makonda kutopendwa? Wapiga kelele wa mitandaoni hawafiki hata 100 nenda mitaaani uulize habari za makonda
Atakusikia basi? Anatiwa uoga ili aogope yasiyokuwepoMama Samia, huyu alishasema utii wake ni kwa genge la wale jamaa, anachofanya ni kudhoofisha serikali yako na chama, ambavyo vilikiwa imara kwa muda mrefu kabla ya kumuingiza yeye.
Kwa kuwa ni jini umelitoa kwenye chupa, angalia jinsi ya kulimaliza.
Kwenye chama kuna watu hawakutaka upuuzi wake, ametoka, sasa yuko kwako, kaja kukubomoa
Makonda, anajua, inshu za, ndani Sana. Ngoja niishie hapoNi kweli.
Kauli ya Makonda inamfitinisha Samia na watendaji wake ndani ya chama na serikali.
Kauli hii pia inamfitinisha Samia na mkuu wa usalama nchini. Yaani kwamba Kuna taarifa za kumchafua rais Makonda anazijua halafu mkuu wa usalama hajui? Na kama anajua mbona hajamwambia rais Samia?
1. Leadership qualities: A good strong president should possess strong leadership skills and be able to effectively guide and inspire the citizens of the country.
2. Integrity and honesty: A strong president should be honest, transparent, and have a high level of integrity in their actions and decisions.
3. Communication skills: Effective communication is key for a president to convey their message and policies to the public and other government officials.
4. Decision-making skills: A strong president should have the ability to make tough decisions in a timely manner, while considering their long-term impact on the country.
5. Diplomacy and negotiation skills: Diplomatic skills are essential for a president to navigate international relations and negotiate with other world leaders.
6. Emotional intelligence: A good president should have the ability to understand and manage their own emotions, as well as empathize with others.
7. Strategic thinking: A strong president should be able to think critically and strategically in order to develop and implement effective policies.
8. Commitment to the welfare of the country: A good president should prioritize the well-being of the country and its citizens above personal or political interests.
9. Ability to work collaboratively: A strong president should be able to work with a diverse group of people, including other government officials, stakeholders, and the public, to achieve common goals.
10. Resilience and determination: Leading a country can be a challenging and demanding role, so a good president should have the resilience and determination to persevere in the face of adversity.
A leader can see these characteristics in themselves, but it is also often helpful to have feedback from the people around them. Others may be able to provide a different perspective and offer insight into areas that the leader may not be aware of. Ultimately, self-awareness and feedback from others are both important in understanding one's own leadership traits.Najiona nina yote hayo
💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽🤗
Acha kumpa kichwa. Ajue za ndani kama nani?Makonda, anajua, inshu za, ndani Sana. Ngoja niishie hapo
Kuna watu ukiwapatia Mic lazima uanze kuwaza nini kinaenda kutokea. Makonda ni mmoja wao, makonda hana kipaji cha kuongea kabisa kabisa, hana point, ba hajui basi anaweza pangilia vipi point zake, jamaa akisha pewa MIC yeye ni kuropoka tu.
Makonda akipewa MIC ni kutishia tu ndio point zake, fuatilia maongezi yake utagundua.
Leo pale Monduli baada ya kupewa MIC kaanzs kusema anawajua wanao mtukana Raisi na kuanza kuwaonya na kuwatishia.
Huyu akiendelea kupewa MIC kuna siku ataongea vitu vya ajabu sana na itakuwa too lare kusahihisha, naona hajashutukiwa kwamba sio mtu wa kupewa MIC.
Watu wa Protocak ni bora kwenye mikutani mikubwa inayo husidha viongozi wa juu, wakawa wanazuia kumpatia Makonda MIC.
Kule Kenya yule Makamo wa sasa wa Rais Ruto naye kiasi fulani anafanana na Makonda na angalau naona kaanza kujirekebisha, naye alikwa akipewa MIC hasa kipindi cha Kampeni alikuwa ni kuharibu badala ta. kujenga.
Acha kumpa kichwa. Ajue za ndani kama nani?
Anaendeshwa na hulka za upumbavu ndiyo maana anaropoka hovyo.
Wanafutwa kazi siku hiyo hiyo.Hivi wakuu wa mikoa wengine wanaweza kuongea kama Makonda anavyofanya?
Ukitaka kukanusha nilichokiandika juu ya msimamo wa Magufuli, unapaswa kuonesha alimteua nani, halafu useme sasa Makonda alikataliwa kwasababu kadhaa na kadhaa.Hiyo haikuwa sababu pekee. Kabla ya uchaguzi Makonda aliomba arudi kwenye ukuu wa mkoa. Marehemu alimkatalia kwa sababu moja kuu, sababu la ulaghai. Aliwalaghai watu kuwa eti Hayati Magufuli ndiye alimtuma akagombee ubunge ili amteue kuwa waziri wa mambo ya ndani. Magufuli alipousikia huo uwongo wa Makonda, alichukia na akatangaza kuwa anayesema ametumwa na yeye Magufuli kugombea ubunge, ni mwongo. Makonda akaumbuka. Ukichanganya na ule utapelei aliowafanyia GSM kuwa Hayati Magufuli aliwaomba wamjengee nyumba, kumbe ni yeye Makonda aliamua kuwatapeli nyumba GSM kwa jina la Magufuli, alizidi kumchukia.
Chini ya uongozi wa hayati Magufuli, Makonda asingepata uteuzi hata wa kuwa balozi wa nyumba kumi. Hayati Magufuli baada ya kumtambua vizuri Makonda, hakumtaka tena.