in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and executed in order to achieve, a certain political objectives 🐒Mama Samia, huyu alishasema utii wake ni kwa genge la wale jamaa, anachofanya ni kudhoofisha serikali yako na chama, ambavyo vilikiwa imara kwa muda mrefu kabla ya kumuingiza yeye.
Kwa kuwa ni jini umelitoa kwenye chupa, angalia jinsi ya kulimaliza.
Kwenye chama kuna watu hawakutaka upuuzi wake, ametoka, sasa yuko kwako, kaja kukubomoa
Umenusa PDF mpya sio!in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and in a very technically executed in order to achieve, a certain political objectives 🐒
RC makonda statement is very significant politically speaking...
is it ex dentally or planned statement ?
who is the targeted individual within the government?
what is the objective of the statement politically?
is it a trap layed down for that targeted individual personal to respond and then kicked out of the government like what happened to former speaker of the National assembly?
is it ground for the next cabinet and government reshafle, as we are heading to serikali za mtaa elections soon at the end of the yr 2024🐒
let's wait and see 🐒
Wewe ni chawa wa Bashite lazima ujibu hivyo ili upate mshahara wako wa leoToa ujinga wako humu
🤣🤣🤣🤣Jini limepasua chupa 😀, halitoshei tena!!
unajuaje pengine mana anazo?Ni kweli.
Kauli ya Makonda inamfitinisha Samia na watendaji wake ndani ya chama na serikali.
Kauli hii pia inamfitinisha Samia na mkuu wa usalama nchini. Yaani kwamba Kuna taarifa za kumchafua rais Makonda anazijua halafu mkuu wa usalama hajui? Na kama anajua mbona hajamwambia rais Samia?
nafundisha siasa tu technically 🐒Umenusa PDF mpya sio!
Ngedere ndo Wananchi?nafundisha siasa tu technically 🐒
hayo mambo ya kunusa nusa mambo mie sina, ila nipo pale na nang'ang'ana na wanainchi daima 🐒
Vipi kama makonda ni KARATA ya mama yetu kipenzi.Mama Samia, huyu alishasema utii wake ni kwa genge la wale jamaa, anachofanya ni kudhoofisha serikali yako na chama, ambavyo vilikiwa imara kwa muda mrefu kabla ya kumuingiza yeye.
Kwa kuwa ni jini umelitoa kwenye chupa, angalia jinsi ya kulimaliza.
Kwenye chama kuna watu hawakutaka upuuzi wake, ametoka, sasa yuko kwako, kaja kukubomoa
Hivi kwa akili yako ndogo unafikiri amesema tuu! Yani wewe unafikiri unajua zaidi ya Samia 😂😂😂😂😂😂😂Mama Samia, huyu alishasema utii wake ni kwa genge la wale jamaa, anachofanya ni kudhoofisha serikali yako na chama, ambavyo vilikiwa imara kwa muda mrefu kabla ya kumuingiza yeye.
Kwa kuwa ni jini umelitoa kwenye chupa, angalia jinsi ya kulimaliza.
Kwenye chama kuna watu hawakutaka upuuzi wake, ametoka, sasa yuko kwako, kaja kukubomoa
Hata kama wako 10 Makonda ni boguswasio mpenda wachache wapiga kelele mitandaoni hawafiki hata 1000.
Kweli kabisaMama Samia, huyu alishasema utii wake ni kwa genge la wale jamaa, anachofanya ni kudhoofisha serikali yako na chama, ambavyo vilikiwa imara kwa muda mrefu kabla ya kumuingiza yeye.
Kwa kuwa ni jini umelitoa kwenye chupa, angalia jinsi ya kulimaliza.
Kwenye chama kuna watu hawakutaka upuuzi wake, ametoka, sasa yuko kwako, kaja kukubomoa
Hakika, mchakamchaka tu.Siasa inatakiwa kuwa hivyo. Inaonekana kuna watu mnapenda siasa za kinyonge sana.
Inawezekana pia.Vipi kama makonda ni KARATA ya mama yetu kipenzi.
Kwamba anafahamu madudu ya watu anamtumia makonda kusema?.
Nawaza mama kamtuma kaka Makonda kusema hivyo ili kusent a message.
Ninachoamini Politics is a game either shine or go crazy.
umeshasema ngedere 🐒Ngedere ndo Wananchi?
Sasa jitu jinga kiasi kile lipendwe na watu wenye akili kweli? Mtampenda nyie wajinga wenzieMakonda hapendwi sijui ni kwanini msio mpenda huwa sababu ni nini sijui
Sio wote tumesoma shule zenye school bus 😂😂in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and in a very technically executed in order to achieve, a certain political objectives 🐒