Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Mtu kama hajawai fika Arusha anaweza akadhani ni sehemu kubwa na ya kipekee kweli au akadhani sijui Arusha kuna jambo gani jipya kumbe hakuna ni ushamba tuu hakuna lolote😂😂😂😂😂
Arusha unaiona juu juu tu,achezee mifumo ya watu ya pesa hapo uone kama hata week atachukua,hao wadudu wanachangamsha jiji tu,
 
Balozi ni lazima akubaliwe na nchi unakompeleka.

Sasa Kwa tabia za Makonda nchi nyingi zinazojitambuwa hawezi kukubaliwa itakuwa ni aibu Kwa Rais unateuwa mtu, vetting ya foreign country inamkataa ni fedhea kubwa.

Tatizo wanalo hao wanaomfuga ndio maana mama sasa ameshaanza kuyakoga matusi, ni matusi anayataka mwenyewe Kwa kukumbatia watu washenzi kama huyo Makonda.
Makonda anawatesa sana kiakili nyie washenzi! Na kazi manayo
 
Balozi ni lazima akubaliwe na nchi unakompeleka.

Sasa Kwa tabia za Makonda nchi nyingi zinazojitambuwa hawezi kukubaliwa itakuwa ni aibu Kwa Rais unateuwa mtu, vetting ya foreign country inamkataa ni fedhea kubwa.

Tatizo wanalo hao wanaomfuga ndio maana mama sasa ameshaanza kuyakoga matusi, ni matusi anayataka mwenyewe Kwa kukumbatia watu washenzi kama huyo Makonda.
Ukituliaga una Akili sana Wewe, ila katika Masuala ya Yanga SC huwa unakuwa Mpuuzi Mpuuzi fulani hivi na sijui kwanini.
 
Inawezekana lakini mbona Mrisho Gambo alitembea nao vizuri maana sioni tofauti kubwa kati ya Makonda na Gambo(kama itakuepo ni kidogo sana)
Makonda is a Nut totally, but Gambo is somehow Intelligent. Amini hiki Mkuu japa najua Gambo nae kuna muda anaboa.
 
Mtu kama hajawai fika Arusha anaweza akadhani ni sehemu kubwa na ya kipekee kweli au akadhani sijui Arusha kuna jambo gani jipya kumbe hakuna ni ushamba tuu hakuna lolote😂😂😂😂😂
Baadhi y watanzania kama hili lianzisha mada ni empty set kabisa. Arusha ina nini cha ajabu. Au uharifu unaofanywa na watoto wa mitaani waliokosa malezi bora ya wazazi wao ndio sifa njema kwao. Hao vibaka ndio wa kumsumbua makonda kweli. Ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom