Paul Makonda ndiye 'Robert Moses' wetu?

Paul Makonda ndiye 'Robert Moses' wetu?

Mtoa uzi una utindio wa ubongo/ikizidi sana ulizaliwa njiti au una vyeti vya fojar kama.huyo bashite
Kwani ukizaliwa njiti kuna tatizo gani na ufahamu?unawajua magenius waliobadili dunia ila ni njiti?
 
Tatizo lake anadharaulika mno..wengi wanamtazama kwa kumshangaa..damage aloyoipata issue ya vyeti itamtafuna maisha?

So long as watu wana matatizo na yeye ndiye anakuwa positioned kama mkombozi wa matatizo yao, ataendelea kuwepo kwa muda. Hayo mengine inategemea moyo wa mtu tu, wengine wana mioyo migumu.
 
Niliwahi kuanzisha uzi siku za nyuma nikisema huyu kijana anaandaliwa kuitawala Dar es Salaam kwa jinsi Bwana mmoja anayeitwa Robert Moses alivyoitawala New York. Nakumbuka kuna jamaa mmoja alikuwa anabisha anasema nisimlinganishe kijana kama Makonda na mtu mzito aliyejenga historia kama Robert Moses.

Base ya post yangu ilikuwa kuwa Makonda yupo na ataendelea kuwepo kwa muda mrefu sana na kila mradi wowote mkubwa utapitishwa kwenye ofisi yake na sifa nyingi atakuwa anapewa yeye. Tayari tunashuhudia hayo. Kuna wanaosema amekuwa kama Naibu Rais kwa sababu si cha waziri, Waziri Mkuu au Makamu wa Rais mwenye sauti juu yake. Sitashangaa kuendelea kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa miaka 30 ijayo.

Robert Moses alikuwa na mamlaka makubwa sana, yeye ndiye alikuwa kila kitu na alirundikiwa mavyeo kibao tu. Kwa kiasi ilirahisisha utendaji wake wa kazi kwa sababu iliondoa urasimu. Tofauti kubwa ni kuwa kwa Makonda mamlaka alizopewa hazijarasimishwa. Kila mtu ameshaliona hilo.

Ule uzi nimejaribu kuutafuta siuoni, kwa kweli kuna wakati mods wa JF wanakatisha tamaa sana. Nakumbuka kama walikujaga kuuunganisha na uzi mwingine wa Makonda ambao ulikuwa hauhusiani na nilichokuwa naongelea mimi. Kuna wengine hata tukiwa na nondo ya kuleta humu, huwa tunajiuliza mara mbili mbili na mara nyingi na mara nyingi tunaamua kupotezea tu.


View attachment 695196
Haya
 
Kwa mamlaka aliyonayo sasa, kumpa Uwaziri Mkuu ni kumshusha cheo.
Kwakusema kweli bado Tanzania ijabahatika kuwa na Rais alietokea kwenye cheo cha Waziri Mkuu. Bado tunasubiri tuone kama nani Waziri Mkuu wa kwanza atakuja kushika urais wa nchi ya Tanzania.
 
Ondoa huu uchafu unaitwa Bashite...He will never anything!


Umenielewa vibaya, sikuwa namu endorse huyo jamaa. Tatizo wengi mmeweka hisia. Wanasema ‘If you don’t like something change it. If you can’t change it then change the way you think about it’.

Wana dar es salaam wana nguvu za kumuondoa huyo jamaa kama tu wangekuwa wanajitambua.
 
Kwakusema kweli bado Tanzania ijabahatika kuwa na Rais alietokea kwenye cheo cha Waziri Mkuu. Bado tunasubiri tuone kama nani Waziri Mkuu wa kwanza atakuja kushika urais wa nchi ya Tanzania.
Mkuu naona rejea historia mbona kabla mwl Nyerere hajawa rais alikuwa waziri mkuu?
 
Za chin chin zinasema awamu ijayo jamaa ndo wazir mkuu wetu na ngosha akitoka jamaa ndo anakabiziwa nchi
Ngosha akitoka lazima nchi akabidhiwe Muislam. Usisahau huu mzunguko. Japo haujaandikwa lakini unazingatiwa. Lasivyo Mujahidin wataichafua hii nchi
Za chin chin zinasema awamu ijayo jamaa ndo wazir mkuu wetu na ngosha akitoka jamaa ndo anakabiziwa nchi
 
Back
Top Bottom