PostGE2025 Paul Makonda na Dotto Biteko msizuge, ukweli ni kwamba mmeumia vilivyo kusikia Rais kapeleka jina la Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu ajaye

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,006
Reaction score
126,388
Tokea Wiki hii ianze mlikuwa mnatamba tu huko Dodoma huku mkijiaminisha kuwa mmoja wenu atakuwa PM ajaye wa Tanzania hatimaye wote Wawili Mama kawala Vichwa na ha hamjaamini kabisa.

Na kuna mmoja wenu hapo kila Siku alikuwa anaoga Maji ya Mganga wake wa Kienyeji kutoka Mkuranga ambaye anaisaidia mno Timu kubwa moja Tanzania ili Mama amuone Yeye tu lakini bado hajafua dafu.

Doto Biteko najua Uwaziri utaupata ila nina wasiwasi na Paul Makonda hata kuwa Waziri kwani ana Undumilakuwili mwingi na ana lawama za mambo mengi yanayolazimisha sasa Wimbo wa Maridhiano uwe unaimbwa kila mara.

Hongera sana Mtani wangu wa Kinyiramba Mwigulu Nchemba na najua hutoiendeleza tu Singida yako bali hata Kwetu kwa Watani zangu Mkoa wa Mara nako utakuendeleza vile vile.

Asante Rais Samia kwa Kubalansi mzani katika Teuzi zako. Spika Simba SC lia lia na Waziri Mkuu Yanga SC kindakindaki.
 
20251113_101106.png
 
Hivi Mwigulu ni Mnyiramba au Msukuma.

Kuna siku nilimsikia akihutubia akiongea kwa KISUKUMA ama sikumsikia vizuri....!!?
Ni rahisi kwa mnyiramba kujua kisukuma kuliko msukuma kujua kinyiramba.
Mnyiramba na msukuma ni mtu na mjomba.
Bwana Madelu ni afisa kipenyo mkongwe huwezi kulinganisha na hao vidagaa Biteko na Bashite.
 
Tokea Wiki hii ianze mlikuwa mnatamba tu huko Dodoma huku mkijiaminisha kuwa mmoja wenu atakuwa PM ajaye wa Tanzania hatimaye wote Wawili Mama kawala Vichwa na ha hamjaamini kabisa.

Na kuna mmoja wenu hapo kila Siku alikuwa anaoga Maji ya Mganga wake wa Kienyeji kutoka Mkuranga ambaye anaisaidia mno Timu kubwa moja Tanzania ili Mama amuone Yeye tu lakini bado hajafua dafu.

Doto Biteko najua Uwaziri utaupata ila nina wasiwasi na Paul Makonda hata kuwa Waziri kwani ana Undumilakuwili mwingi na ana lawama za mambo mengi yanayolazimisha sasa Wimbo wa Maridhiano uwe unaimbwa kila mara.

Hongera sana Mtani wangu wa Kinyiramba Mwigulu Nchemba na najua hutoiendeleza tu Singida yako bali hata Kwetu kwa Watani zangu Mkoa wa Mara nako utakuendeleza vile vile.

Asante Rais Samia kwa Kubalansi mzani katika Teuzi zako. Spika Simba SC lia lia na Waziri Mkuu Yanga SC kindakindaki.
Bashite makonda anawinda wizara ya mambo ya ndani ili ajenge magereza mapya kwani akiwa waziri gerezani kutajaa watu wa chadema
 
Tokea Wiki hii ianze mlikuwa mnatamba tu huko Dodoma huku mkijiaminisha kuwa mmoja wenu atakuwa PM ajaye wa Tanzania hatimaye wote Wawili Mama kawala Vichwa na ha hamjaamini kabisa.

Na kuna mmoja wenu hapo kila Siku alikuwa anaoga Maji ya Mganga wake wa Kienyeji kutoka Mkuranga ambaye anaisaidia mno Timu kubwa moja Tanzania ili Mama amuone Yeye tu lakini bado hajafua dafu.

Doto Biteko najua Uwaziri utaupata ila nina wasiwasi na Paul Makonda hata kuwa Waziri kwani ana Undumilakuwili mwingi na ana lawama za mambo mengi yanayolazimisha sasa Wimbo wa Maridhiano uwe unaimbwa kila mara.

Hongera sana Mtani wangu wa Kinyiramba Mwigulu Nchemba na najua hutoiendeleza tu Singida yako bali hata Kwetu kwa Watani zangu Mkoa wa Mara nako utakuendeleza vile vile.

Asante Rais Samia kwa Kubalansi mzani katika Teuzi zako. Spika Simba SC lia lia na Waziri Mkuu Yanga SC kindakindaki.
Makonda huku Kanda ya Ziwa anatuhumiwa kuwa ndiye alitoa password kwa wanamtandao waliomtoa roho JPM ndiyo maana sasa hivi yuko nao beneti si mtu mzuri hata kidogo huyu akitaka jambo lake yuko tayari kufanya chochote au ķufanywa
chochote ili mradi afikie lengo lake.
 
Shetani kama Bashite apewe wizara ya jinsia na watoto au wizara ya maji au wizara ya utumishi asipewe wizara kubwa
 
Makonda huku Kanda ya Ziwa anatuhumiwa kuwa ndiye alitoa password kwa wanamtandao waliomtoa roho JPM ndiyo maana sasa hivi yuko nao beneti si mtu mzuri hata kidogo huyu akitaka jambo lake yuko tayari kufanya chochote au ķufanywa
chochote ili mradi afikie lengo lake.
Safari hii uchawi wake umefeli atakuwa waziri wa jinsia na watoto
 
Back
Top Bottom