Paul Makonda: Kuna kipindi tunawachukia wanahabari wanaoripoti kero za wananchi. Mkurugenzi kaa kwenye kiti chako na uenee

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Huyu hapa Makonda akiwa anawawashia moto wanahabari ambao wanamind vyombo vya habari ambavyo vinaripoti kero na changamoto za wananchi

"Inafika mahala Watanzania wanaenda kulalamika kwa wanahabari huko mitaani, wanahabari wanaenda kuripoti kero za wananchi iliyotokea kwenye halmashauri zetu na inafika kipindi tunawachukia wanahabari wanaoripoti yale ambayo yalipaswa kuripoti na maafisa habari"

View attachment 3529483

Hiki chuma kitawanyoosha
 
Wakuu,

Huyu hapa Makonda akiwa anawawashia moto wanahabari ambao wanamind vyombo vya habari ambavyo vinaripoti kero na changamoto za wananchi

"Inafika mahala Watanzania wanaenda kulalamika kwa wanahabari huko mitaani, wanahabari wanaenda kuripoti kero za wananchi iliyotokea kwenye halmashauri zetu na inafika kipindi tunawachukia wanahabari wanaoripoti yale ambayo yalipaswa kuripoti na maafisa habari"

Mkurugenzi wa habari ni nani?
 
Back
Top Bottom