Paul Makonda ameghushi tena?!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,715
FN0ybfwXwAU740t.jpeg


Wakati wa utawala wa Hayati Magufuli iliwahi kuibuliwa kashfa ya kughushi vyeti vya elimu ya sekondari kwa Paul Makonda. Paul akiwa mkuu wa mkoa wa mkoa nyeti sana alipata kashfa hii pasipo mamlaka ya uteuzi wala elimu kumshughulikia.

Lakini tena limeibuka sakata la umiliki wa kiwanja kati yake na GSM. Katik kujitetea Makonda ameonyesha hati ya mauziano ambayo nimeambatanisha kwenye uzi.

Ukiitazama hati hiyo inaonekana na kasoro kadhaa
1. Mihuri imepigwa chini ya picha badala ya kupigwa juu ya picha
2. Hati haijakamilika kwa sababu kamishna wa ardhi hakuidhinisha mauziano hayo

Wataalamu wenzangu naomba tujadili kwa mustakabali wa kujielimisha. Je, Bashite ameghushi tena?
 
HUYO GHARIB NAE AKAE KWA KUTULIA, MBONA KUNA SIGN YAKE PALE NA PICHA YAKE?? KWA HIYO WAMEGHUSHI HAJASAINI YEYE AU😜😜
 
Back
Top Bottom