Paul Makonda akamatwe kwa kudhamiria kuhujumu zoezi la ukusanyaji kodi

Na asipotumbuliwa sisi wananchi tunafaidika nini
hao ni wafuasi wa slaa aliotoka nao cdm na kwenda nao ccm
yani yeye siku zote malalamiko kwa bashite ni kwamba anaonewa wivu na sio matendo yake ya ovyo!!!
amesahau kuwa yule zero brain alikuwa anawatukana watumishi wakubwa mkamo wa mama yake matusi mbele ya kamera
 
Magufuli nasikia makonda ndio nguzo yake
Hizi radio mbao zina vituko mkuu, nilisikia radio mbao moja kuwa kuna kijana amefanya kazi kubwa kumtafutia bwana mkubwa mmoja wajuzi wa mambo ya gizani wamlinde, basi unaambiwa huyo kijana hata mseme nini kwa bwana mkubwa mtaishia kutukanwa nyie basi.
Sijui ni kweli? Ila naanza kuamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi za nyerere angesikiwa tuu ameleta makontena 36 yeye binafsi angekua kijijini saa hii chini ya uangalizi.Vijizawadi vinatia shaka sana

alikuwa dikteta, kwa nini umfungie mtu kijijini kwao bila kesi wala mashtaka?

Afrika hatujawahi kupata wazalendo wanaoamini kwenye utawala wa sheria

Nyerere alikuwa such a heralded idealist of African struggles lakini alikuwa hajui maana ya haki za raia

baba yake alikuwa chifu, chifu wa ki Afrika hajui kusoma wala kuandika wala hajawahi kusikia neno “sheria,” anatawala kwa busara za kichawi, za mtu totally illiterate, na vile wake zake watakavyomshauri usiku.

na ndizo African leadership ethos tulizorithi na zinazoendelea kutula
 

Alichoongea Henry Kileo ni ukweli mtupu..........lakini mwisho wa siku ataambiwa ni Mchochezi!!!!
Tatizo ni: PAULO NI MTOTO PENDWA WA RAIS MAGUFULI NA ALISHAWAHI KUTETEWA MBELE YA HALAIKI KUWA...''MAKONDA PIGA KAZI....UNA FOOL SUPPORT YA RAIS......''JPM.

Hapa ndipo ule msemo wa Wahenga unapochukua nafasi,...''MGEMA AKISIFIWA TEMBO HULITIA MAJI....''
 
Serekali inauza makontena kwa mnada .yeye anawatisha wananchi wasinunue watapata laana. Sasa kama unaakili timamu huoni kosa hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Laana ni kosa la jinai? Kifungu kipi cha Penal Code? Au sheria nyingine yoyote ya jinai?? Unajifanya una akili timamu kwa mapovu ya OMO tu wakati kichwani ni zerooo!!
 
Cheap politics hyo unaleta,Hivi we bwana Kileo una kazi gani mjini hapa zaid ya ujanja ujanja tu na kutafuna ruzuku ya chama tu,Tafuta hela kama wanaume wenzio ujue harufu ya jasho.Nyinyi ndo mnamuwekea uzito mkubwa Mbowe ktk utendaji wake,akijua kaacha watu ofisini kumbe fisi wapiga hela tu
 
Ninavyo mjua jiwe hana urafiki wa kudumu lolote laweza kutokea, kama ilivyokuwa kwa mhongo na nchemba mwiguru

Sent using Jamii Forums mobile app
Unanikumbusha mnyama simba ama chatu wakishiba hata binadamu unaweza kupita wasikudhuru na wanyama wanajikatizia utadhani wana urafiki lakini wakiwa na njaa ni balaa, kwa hiyo maslahi ndio huamua muda wa urafiki na uadui!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom