Paul Makonda afunguka

kunamwandishi mmoja wa gazeti la tanzania daima pamoja na mhariri wake wote wanatumika na Lowasa wengine wapo gazeti la nipashe na mwanachi jamaa wanalipwa kwa kumpigia debe Lowasa.

Wataje, unaogopa nini mtu mwenyewe huna impact yoyote na zaidi umejificha kwenye ID fake.
 

Hakuna chama hapo; kilichobaki ni CLUB YA FAMILIA NA MARAFIKI inayoendeshwa kwa jina la CCM
 
Kuwa vuvuzela kuna lipa sana, si unaona kijana makonda kajipatua udc, ukijifanya unajua kujenga hoja makini ccm hupati cheo
 
Hakuna chama hapo; kilichobaki ni CLUB YA FAMILIA NA MARAFIKI inayoendeshwa kwa jina la CCM
Sisi watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana na wapuuzi na sijui ni wangapi wanalijua hili!!

 
Haaaaahahahaa...kumbe ni mfunga viatu vya ridhiwani?
 

Asante mkuu kwa taarifa. ccm wanaendelea kucheza filamu za kudanganya Watz. Tutaona mengi na kusikia mengi hadi Oct.2015.
 
Kwa fununu nilizozipata amepelekwa kwenye u-DC ili kumtoa kwenye kamati kuu maana kule ndo engeweza ku influence wengine na maamuzi ya kumuathiri Lowassa.

Mwakalebela amepewa u-DC ili kuhakikisha hagombei tena ubunge Iringa ili chance hiyo irudi kwa mama fulani (nimemsahau jina)
 
kumbe huyui kijana anatisha eeh?,maana bawacha yote imetaharuki vibaya
 
Lakini jaamani tuachane na hili suala la Dogo Makonda
Mimi kuna huyu Dada Mboni Mhita, yaani mimi dah! kama inawezekana nipate nafasi tu ya kuonana naye niseme naye kidogo
yaani dah! kwa kweli kama ananisikia basi anaweza nicheki kwa hewa.
kwa kweli huyu dada anaweza nifanya niwe kada mwaminifu wa ccm. acha tu niishie hapa ila ananikosha sana.
 
Makondaaaaa safi sana! Siyo bure kutakuwa na nguvu tu inakusukuma kwa nyuma.
 
Mzee Mwanakijiji hukuyafanya haya yote na ndo maana umekosa u DC

Makonda hajui alifanyalo na ccm wanamuona kuwa ni lulu,lakini taasisi yoyote ina sheria na taratibu za kinidhamu huwezi kumshambulia kiongozi wako wa juu,mwanachama wako aliyewahi kuongoza wizara mbalimbali usitegemee mgawanyiko.
Makonda ajue ikiwa Nape,Kinana,Na Mangula ni lulu kwake,ajue wapo wanaccm walioko nyuma ya pazia tena wengi kuliko cc ya ccm na polisi yao.

Makonda mwisho wako kisiasa uko mlango,viatu ulivyopewa tutaanza na wewe kinondoni,poor Makonda unayevamia siasa bila diplomasia ya utawala na uongozi kutobobea
 
Last edited by a moderator:

Acha kutisha watu wewe mtu usiyejitambua kawatishe wahuni wenzako ambao hawajitambui kama wewe,
 
Da watu wanajua kuchimba ha ha ha hah ha ha ha ha yani hii picha imenikumbusha yule jamaa wa HUTAKI UNAACHA anajua kila kitu cha ndani ikulu du hii picha sijui ilipigwaje kwi kwi kwi kwi kwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…