samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 215
Naomba kutoa dukuduku langu kuhusu huyu mtangazaji wa star tv ambaye mara kadhaa hutangaza kipindi cha tuongee asubuhi kinachorushwa na star tv kila siku kuanzia sa moja na nusu asubuhi hadi sa tatu kamili. Binafsi mtangazaji huyu nimekuwa sipindezwi naye kwa namna anavyoendesha kipindi cha tuongee asubuhi. Nina sababu kuu tatu zinazonifanya nisipendezwe na namna jamaa huyu anvyoendesha kipindi hicho. Mosi, paul mabuga amekuwa na tabia ya kuegemea upande moja hasa ule unaotetea serikali kitu ambacho hatakiwi kukionesha waziwazi yeye akiwa kama mtangazaji.(hapa nazungumzia mada zinazohusisha ukosoaji wa serikali). Katika hili paul mabuga amejipambanua waziwazi kwamba yeye ni kada wa chama cha kijani. Yeye kama mtangazaji anapaswa kusimama katikati pasi kuegemea upande wowote. Pili, paul mabuga amekuwa na tabia ya kuwakatisha wazungumzaji walioalikwa studio mara kwa mara kwa kupachika vijimaswali vya ajabu ajabu kabla hawajamaliza kuzungumza kile walichokuwa wanakieleza. Kwa sababu hiyo amekuwa akipoteza mwelekeo wao wa kuchangia hasa pale wanapokua wanaibana serikali. Nambuka wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka jana mabuga alimualika dr slaa studio kwenye kipindi hicho ambapo hakutaka kumpa nafasi dr slaa kuzungumza kwa kina na mara nyingi alikua akimkatisha mara kwa mara na kumuuliza vijimaswali visivyo na tija, nakumbuka ilifika wakati dr slaa aliishiwa uvumilivu akamwambi kama hutaki nijieleze ni bora usingenialika hapa studio.. Sababu ya tatu ni kutokana na tabia yake ya kubana muda wa kupiga simu kwa wachangiaji wanaofuatilia kipindi hicho. Mara nyingi anapoendesha kipindi utakuta anaruhusu simu zikiwa zimesalia dakika 20 au 15 kabla ya kipindi kumalizika natokeo yake wanapiga simu watu wawili au watatu kipindi kinamalizika. Hii inaondoa zana ya tuongee asubuhi. Namshauri paul mabuga aige mfano wa watangazaji wenzake samadu hassan na rymond nyamwihula ambao wamekua wakiendesha kipindi hicho kwa uhodari mkubwa na kuwapa waalikwa uhuru wa kuzungumza bila kukatishwa mara kwa mara Nawasilisha.. .

Hivi kwa nini malalamiko haya yanatokea pale tu huyu jamaa anapoendesha kipindi ambacho kinaihusu CHADEMA sijasikia akilalamikiwa katika mada nyingine! Aanauwauzi nini Wana Nzengo na hasa wale ambao wanatarajia kugombe ubunge kwa tiketi ya CDM 2015?
<br /><font face="Calibri">Nachoamini ni kuwa changamoto ni jambo la kawaida kwa binadamu! Kwangu mimi hakuna hoja ya kipuuzi. Lakini pia binadamu kutofautiana katika fikra ni jambo la kawaida, fikra zinajengwa na misingi minigi, baadhi ni pamoja na Imani, utashi na uelewa. Siwezi kuhukumu kipi kinawasukuma baadhi kutoa hoja na maoni waliyonayo, lakini ni mara chache misingi hii ikafanya katika hali ya usawa na kwa pamoja,lazima msingi mmoja utakuwa juu zaidi ya mingine. Kama binadamu pia kuna hatua za kujifunza katika jambo, kwanza naona, Napata uzoefu, maarifa mapya kama yapo na kisha napambanua, na hii ni lazima.</font><br />
<font face="Calibri">Kuibuka na fikra na kushtumu ama kulalamikia jambo ambalo una uewlewa nalo ama huna pia siyo dhambi, lakini uendeshaji na utayarishaji wa vipindi vya majadiliano una misingi na maadili yake. Unaweza kufanya kama wengine wanavyotaka uwafurahishe, nap engine fikiria ukifanya kuegemea upande mwingie kuwauzi hali itakuwaje. Lakini fikiria ukaendesha mjadala ambao wageni wako wengi wa upande mmoja, lakini unatakiwa kuwa na muungwana akilalamika kwa sababu umeuliza jambo ambalo yeye linamkirihisha. </font><br />
<font face="Calibri">Najua kwa nini zinakuwepo hoja kama zinazotolewa, lakini naziheshimu na nachukua kama changamoto.</font><br />
<font face="Calibri">Pengine ni nadra kwa mtu kujibu wazi malalamiko kama hivi, lakini nawapeni hongera mnaotoa malalamiko, wengine nawafahamu na wengine siwajui lakini Shukurani na Kwaresma njema.</font>
Siyo kweli kabisa Tumaini Jipya! Una ushabiki naona! Mimi nimeona hiki kipindi baada ya kupigiwa simu na jama yangu nisikose kukiangalia. Mambo mapya nay a ufafanuzi yamezungumziwa vema hata yale ambayo nilikuwa siyajui na nilishuhudia – effective communication. Niliona pia hata wakati anamkatiza mshiriki aliyekuwa akianza kujadili hoja --- ilikuwa dhahiri mshiriki alipotoka na kuanza kuzungumzia personality akimzunguza Kikwete kama mtu binafsi badala ya hoja, sikusumbuka sana kwenye hilo. Kuna rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia endapo mahojiano yangekuwa yanaendeshwa namna ile na mtangazaji kuhoji katika namna inayojibu maswali ya wananchi ikiwepmo hoja za pande mbili ingekuwa shwari. Tatizo tumaini jipya na wenzako ni ushabikiiii.