Paul Kagame: Tanzania's own spy

he was trained well ila na yeye ni kichwa sana, he became very famous in espionage na alikua mtu wa kuingia front kwenye raids with few but skilled soldiers


Hawa ndio wazee wastaafu waliokuwa usalama wa Taifa enzi hizo na wakina Mzena sio hawa wa leo kazi kuwang'oa wananchi kucha badala ya kulinda usalama wa nchi!!
 

Unapigana vita ambayo unajua umeishashindwa. Mtawekwa wazi zaidi.
 
Moshe Dayan,

..umesahau Bin Laden alivyowatenda USA??

..kuna wengine wanabisha, lakini ukweli utabaki kwamba tulikosea kutoku-support ile mission ya SADC ya 1999.

..tungesimama upande wa Zimbabwe, Angola, na Namibia, wakati ule, hali isingekuwa mbaya kiasi hiki Congo.

..wacha JK na Zuma warekebishe makosa ya Mkapa na Mandela/Mbeki.

cc Ogah, Jasusi, Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
Hapa nimefunguliwa macho kwa baadhi ya mambo..
 
de'levis, long time no see.., turudi kwenye mada, ntakuja na topic jinsi rwegyima alivyouawa na jinsi siku alipoenda front ilikuaje rpg zote za unit yake zili-miss fire, ndipo utajua kagame tulimuivisha kwenye espionage

Naisubiri kwa hamu hiyo topic. Pamoja sana mkuu.
 
Swali la msingi ni kwanini Kagame na Museveni (na hata Rais Banda) bado wanamheshimu marehemu Baba wa Taifa lakini wanamdharau Kikwete? Swali jingine linalohusiana na hilo ni kwanini IWE SASA wakati wa utawala wa Kikwete na si zama za Mkapa au Mwinyi?
 
Kagame yuko busy na kutengeneza "Israel" ya East Africa. Shida aliyonayo ni kukosa bahari ya Mediterranean!
 
Lol. watch this space. Usikimbie lakini


baba yenu anawahadaa na kuwatumikisha pasipo kujua...tutawasaidia mjue kuwa mnatumikishwa...tabia yake tunataka ikome na ITAKOMA...angekuwa anachofanya ni halali ndani na nje ya rwanda sasa hivi asingekuwa anakimbia kimbia na kuhama hama hasa nyakati za usiku na halali sehemu moja...

au na wewe murutongore tukudunge ''truth serum'' kama mmoja wenu aliyekuwa anatumiwa na baba yenu na akamwaga kila kitu hali iliyopelekea baba yenu anaishi kama digi digi hasa nyakati za usiku mpaka sasa?
 
Last edited by a moderator:

did they get rid of the whites (colonialists) or africans? If africans our country is to blame
 

Dah! Kwetunikwetu hii kauli ina maana pana sana
 
Last edited by a moderator:

also the president who hosts FDLR na makundi mengine yanayoshambulia Rwanda. The same president who took oath to protect the Congolese ndo kawakataa wakongo wenye asili ya kitutsi akisema ni warwanda. Kama ambavyo baadhi ya wahangaza wa ngara walivyoitwa warwanda na Kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…