Ukiongeza na lile la jana, la Rais kutoa wazi habari ya mwaka 2019 ambayo ni biashara iliyokwisha kufa, mbele ya hadhira, eti Kenya nao wamekimbilia huko.Navihurumia sana vyombo vyetu vya ULINZI NA USALAMA kwa maana vinapitia wakati mgumu sana. Ni fedheha kubwa sana kwa haya yanayoendelea.
UONGO MKUBWA.. Unajiuliza hawa wasaidizi wake Rais wana aibu kweli?!
