Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
Hotuba itatangazwa na Kigali FM 100.2. Atatumia muda huo kujibu hoja za JK dhidi yake na kuiambia Rwanda nini cha kufanya.
Cjui nani mchokoz ila nahis tz ndio wachokoz na kama ndivyo tukipigana watatupiga mana MUNGU ATAKUWA UPANDE WAo.
Kama upo pande hiyo tujuze anachotapika tafadhari.
acha watupige tu maana tumechokwa......
Cjui nani mchokoz ila nahis tz ndio wachokoz na kama ndivyo tukipigana watatupiga mana MUNGU ATAKUWA UPANDE WAo.
likely Kagame will seek apoligise from JK for what he said...