Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,804
- 8,797
Makanisa ni biashara kubwa sana hasa haya ya full suti ya mabati na viti vya bar ni hatari sana. Sijui tumelaaniwa wapi? Mwamposa, Lusekelo, Kakobe, Mwingira sijui Kuwani Mussa na hii takataka Gwajima ni hatari sana nguvu kazi inapotea kwa kufuata ujinga huu. Kuna dada mmoja hana kazi lakini kaamua kusomea upasta. Nikamuuliza hiyo pesa si ungeenda kusomea hata Ualimu wa Chekechea ungepata kufungua hata kishule chako kidogo. Aliyeleta Dini Afrika alaaaniwe.