Paul Kagame: I have closed over 6000 churches. I now demand for a theology degree for every religious leader

Makanisa ni biashara kubwa sana hasa haya ya full suti ya mabati na viti vya bar ni hatari sana. Sijui tumelaaniwa wapi? Mwamposa, Lusekelo, Kakobe, Mwingira sijui Kuwani Mussa na hii takataka Gwajima ni hatari sana nguvu kazi inapotea kwa kufuata ujinga huu. Kuna dada mmoja hana kazi lakini kaamua kusomea upasta. Nikamuuliza hiyo pesa si ungeenda kusomea hata Ualimu wa Chekechea ungepata kufungua hata kishule chako kidogo. Aliyeleta Dini Afrika alaaaniwe.
 
Makanisa yalichochea mauaji Rwanda bora hata waislam wao hawakushiriki kwny genocide kama wakatoliki walivyofanya.Kagame anajua kinacholeta utiifu pale ni sheria na mkono wa chuma tu.Makanisa hakuna kitu yanamsaidia.Sasa hivi kwenyewe wakuu wa kanisa la Kisabato zaidi ya kumi na ushee amewaweka ndani kwa utapeli wa pesa za miradi.Na hakuna kitu watafanya.

chanzo cha mauaji ya rwanda ni mr slim hiyo iko wazi acha maneno ya uongo
 
chanzo cha mauaji ya rwanda ni mr slim hiyo iko wazi acha maneno ya uongo
Tena alichinja watu saaana yaaani Saana Rwanda kwny genocide Slim Kaua watu mil 70 hivi,yaani alikua enzi zake alimkamata mtu anamla ndogo Kwanza ndio anamchinja,jamaa Ni bonge la katili na kule Congo ameenda Kaua watu Kama mil 500 hivi.Itabidi majeshi yatumwe apigwe Huyu mpk anye 😄😄😄

Bangi mbichi ikichanganywa na mavi ya mtoto mdogo Ni noma sana.
 
Tena alichinja watu saaana yaaani Saana Rwanda kwny genocide Slim Kaua watu mil 70 hivi,yaani alikua enzi zake alimkamata mtu anamla ndogo Kwanza ndio anamchinja,jamaa Ni bonge la katili na kule Congo ameenda Kaua watu Kama mil 500 hivi.Itabidi majeshi yatumwe apigwe Huyu mpk anye

Bangi mbichi ikichanganywa na mavi ya mtoto mdogo Ni noma sana.

umeona eeee bangi inawenyewe sio kila mtu anaweza kuvuta kuna siku utajukuta umeva chupi kichwani
 
Gwajima sisi tunamuogopa eti?hahahah yaani akiongea nchi nzima inatetemeka.Sasa hivi hadi kamati ya bunge imekaa kujadili upuuzi wake.Gwajima ni mwamba alishamkemea hadi Kikwete akiwa rais,kamkemea Pengo na ukadinali wake,ameshasikika akihamasisha Usukuma kwny mitandao ya kijamii na yuko tu anadunda.CCM wanamuogopa kisa watakosa kura za waumini wake na ile misukale yake anayoifufuaga.
Woga ni woga tu, haijalishi sababu ya wogan ni nini
 
Kitu ambacho kinatakiwa kufanyika ni hayo makanisa kuwa na mabaraza ya wadhamini pamoja na kuwa na mikutano mikuu, mbona Gwajima ana degree 3 lakini bado anafanya vituko?
Masharti mengine wameambiwa hakuna kuanzisha kanisa Kama hauna jengo permanent (makanisa ya tent/mabati Ni marufuku),Kama hauna sound proof(noise pollution) marufuku kufungua kabisa,Safety measures kibao.Ukishindwa kufuata Ni marufuku.Masharti kibao.
 
“I have closed over 6000 churches and mosques in my country and I am now demanding for a theology degree for every religious leader.

Stop playing with people's faith and making it a business. Rwanda is already a blessed country, ”Rwandan President Paul Kagame said.
Did the Apostle Paul, Peter and the likes had theology degrees?

Apostle Peter was a merely fisherman with no formal education but he was and is a notable Apostle, full of knowledge of the word of GOD. Where did the Apostles attained this Godly knowledge?

The answer is simple, they attained it from the HOLY SPIRIT and not from secular education system. Knowledge, discerning, wisdom and understanding of the word of GOD comes from GOD himself through his SPIRIT.

Mr. Kagame should know that men of GOD don't need theology degrees or any papers to preach the gospel.

Someone can have theology degree and yet be a conman, a thief, a liar and a fake. What Kagame doesn't know is that someone with the SPIRIT OF GOD can never have those evil traits.

Closing down churches and imposing stricter laws to men of GOD, makes Kagame an Antichrist.
 
Masharti mengine wameambiwa hakuna kuanzisha kanisa Kama hauna jengo permanent (makanisa ya tent/mabati Ni marufuku),Kama hauna sound proof(noise pollution) marufuku kufungua kabisa,Safety measures kibao.Ukishindwa kufuata Ni marufuku.Masharti kibao.
Mbona misikiti wanatuamsha saa 10:30 na wakati siyo wote ni waislamu?
 
“I have closed over 6000 churches and mosques in my country and I am now demanding for a theology degree for every religious leader.

Stop playing with people's faith and making it a business. Rwanda is already a blessed country, ”Rwandan President Paul Kagame said.
This is trampling on religious freedom. Rais hawezi kuwa ndiye anayetunga masharti au vigezo vya nani awe kiongozi wa kanisa na awe na elimu gani maana anaweza pia siku nyingine akasema hataki kiongozi wa dini mwenye degree au hataki viongozi wengi kwenye kanisa au mskiti mmoja.
 
Back
Top Bottom