Paul Kagame: I have closed over 6000 churches. I now demand for a theology degree for every religious leader

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,409
2,263
“I have closed over 6000 churches and mosques in my country and I am now demanding for a theology degree for every religious leader.

Stop playing with people's faith and making it a business. Rwanda is already a blessed country, ”Rwandan President Paul Kagame said.
 
Huyu kashepotea keep cool mtaona show huko Rwanda. Hajengi institute anajenga jina lake tafakari what next...
 
Show ipi sasa?Huyo alishapiga marufuku adhana za misikitini na kengele za makanisani akisema hizo ni noise pollutions maana watu wanajua sehemu za ibada zilipo na hio ni zaidi ya miaka 10 sasa na anadunda tu.

Huyo sio CCM wanaowaogopa wakina Gwajima,Mzee wa Upako na watu wa dizaini hio.
 
Hapa bila shaka anawasema akina Gwajima!

Gwajima sisi tunamuogopa eti?hahahah yaani akiongea nchi nzima inatetemeka.Sasa hivi hadi kamati ya bunge imekaa kujadili upuuzi wake.Gwajima ni mwamba alishamkemea hadi Kikwete akiwa rais,kamkemea Pengo na ukadinali wake,ameshasikika akihamasisha Usukuma kwny mitandao ya kijamii na yuko tu anadunda.CCM wanamuogopa kisa watakosa kura za waumini wake na ile misukale yake anayoifufuaga.
 
Kuna kuchanganyikiwa nafikiri. CCM huwa hawategemei kura. Hata huyo Gwajima mwenyewe walimshindisha ubunge wa Kawe kwa kura za kutengeneza na kauli ya kibabe tu.

Labda iwe ni hofu ya ushirikina kama ilivyo ada ya siasa za chama hicho. Kwa CCM kuhofia kukosa kura za wafuasi wa Gwajima si rahisi kueleweka.
 
Waambie Sasa CCM wafunge makanisa uchwara yaliyotapakaa nchi nzima uone sasa kama wana ubavu huo.
 
Kagame anajiona mzungu,yeye hajui makanisa yanamsaidia kuwafanya watu kwa watiifu kwa serikali

Makanisa yalichochea mauaji Rwanda bora hata waislam wao hawakushiriki kwny genocide kama wakatoliki walivyofanya.Kagame anajua kinacholeta utiifu pale ni sheria na mkono wa chuma tu.Makanisa hakuna kitu yanamsaidia.Sasa hivi kwenyewe wakuu wa kanisa la Kisabato zaidi ya kumi na ushee amewaweka ndani kwa utapeli wa pesa za miradi.Na hakuna kitu watafanya.
 
Alitumia mstari gani kwenye wa biblia kuwakalia

SOUTH AFRICAN PASTOR FARTS ON PEOPLE’S FACE TO HEAL THEM.

South African pastor Christ Penelope farts on congregants claiming that it's a process to heal people.

South African pastor reportedly farts on people's faces as a healing process to cure all spiritual and physical problems. Pastor Christ Penelope, of SevenFold Holy Spirit Ministries in Siyandani Village, Limpopo, South Africa has created a buzz online for his unorthodox method of healing people after a photo of him sittin on the heads of people, apparently farting on them, went viral.

An attendee visiting the church complained, "When we come to church it's because we need prayers, not to be farted on." However, Pastor Penelope has defended his methods, insisting that he is simply demonstrating the power of God.

Ingia kweny hio link uone jamaa linavyokalia usoni mkuu.

Kazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom