Kwa sababu kule kuna kiongozi mkuu wa himaya, na kwa jinsi jamaa alivyo mbishi ni lazima atakuwa Kambi ya upinzani.Sasa sijajua atakuwa kiongozi wa malaika wa kambi ipi...kambi rasmi ya malaika ama kambi pinzani ya malaika Mbinuni!
Hudhani kwa akili yake kule atatamani mwenye himaya apunguziwe mamlaka ili ayachukue yeye ajenge flyover pale njiapanda ya kwenda peponi/Motoni ili kupunguza msongamano na kuimprove muonekano wa pale?Kwa sababu kule kuna kiongozi mkuu wa himaya, na kwa jinsi jamaa alivyo mbishi ni lazima atakuwa Kambi ya upinzani.
JIbril atamdhibiti, kazi yake itakuwa kuchochea motoHudhani kwa akili yake kule atatamani mwenye himaya apunguziwe mamlaka ili ayachukue yeye ajenge flyover pale njiapanda ya kwenda peponi/Motoni ili kupunguza msongamano na kuimprove muonekano wa pale?
Bandarini kugawa mapapai au..?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JPM yupo Magogoni, ukimkosa hapo basi ni Dodoma, au akitoka out basi ni Bandarini, na kwenye uzinduzi wa matawi ya benki..sijui hachoki hiyo routine? Mimi napanga angalau nisafiri msimu huu wa Eid.
huyu jamaa tena wamemuweka mbele front line..,,Dikteta" P.Kagame akiwa na Raisi E.Macron, mdosi wa Facebook M.Zuckerberg na wengineo jijini Paris nchini Ufaransa, kwenye ,,tech for good sumit"!
Waliuohudhuria 50 tech CEOs wa tech Companies kama Uber CEO, IBM, John Kerry (waziri wa Mambo ya nje wa USA zamani) na wengineo.
huyu jamaa tena wamemuweka mbele front line..
ndio maaana anampelekesha sana Magufuli na mererani yote kaichukua jamaa.
magufuli yeye yupo morogoro huko anagawa milioni 2 ..huku wizara zinapokea zero % kwenye bajeti..kweli kintu ni mshombe si nyama
PaKa kazunguukwa na mabepari. kweli mwalimu alisema ubebari ni unyama,,Dikteta" P.Kagame akiwa na Raisi E.Macron, mdosi wa Facebook M.Zuckerberg na wengineo jijini Paris nchini Ufaransa, kwenye ,,tech for good sumit"!
Waliuohudhuria 50 tech CEOs wa tech Companies kama Uber CEO, IBM, John Kerry (waziri wa Mambo ya nje wa USA zamani) na wengineo.
kumbe sio kweli?Wewe umejuaje kama Kagame anachukuwa Tanzanite yetu? Isitoshe Kagame hana shida na Tanzanite ana access na rare earth minerals nchini kwake Rwanda na Kongo pia!
Yupo chattleWa kwetu yuko wapi?
Anazindua barabaraWa kwetu yuko wapi?