figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,832
- 63,308
Kwa mujibu wa katiba ya Rwanda, rais wa nchi hiyo anaruhusiwa kugombea mihula miwili tu ya miaka saba kila mmoja. Rais wa sasa Paul Kagame anatumikia muhula wake wa pili ambao utamalizika mwaka 2017.
Sasa, Sheikh Fazil Harerimana, mwenyekiti wa chama cha PDI kilicho katika mseto unaounda serikali inayoongozwa na Chama cha RPF cha Rais Kagame, amejitokeza wazi na kutaka katiba ibadilishwe ili Kagame aweze kugombea tena.
Chanzo: DW