Paul Kagame apendekezwa agombee Urais

Paul Kagame apendekezwa agombee Urais

kwa hiyo sisi turudi Magogoni kudai majina ya waliopewa mgao wa escrow kutokea Stanbic sio?
NDIYO HASWAAA LINALOTUHUSU. TUWAJUA KWA MAJINA NA KWA CHOMBO WALICHOBEBEA HELA NA KIASI, TUJUE NANI ALIBEBA HELA KWENYE LUMBESA, NANI ALIBEBA HELA KWENYE SANDARUSI NA KIASI GANI. MWISHO WA SIKU TUPATE UHAKIKA PASI SHAKA KUWA HELA ZIMERUDI NA WAHUSIKA WAMEPELEKWA MAHAKAMANI.
n
 
NDIYO HASWAAA LINALOTUHUSU. TUWAJUA KWA MAJINA NA KWA CHOMBO WALICHOBEBEA HELA NA KIASI, TUJUE NANI ALIBEBA HELA KWENYE LUMBESA, NANI ALIBEBA HELA KWENYE SANDARUSI NA KIASI GANI. MWISHO WA SIKU TUPATE UHAKIKA PASI SHAKA KUWA HELA ZIMERUDI NA WAHUSIKA WAMEPELEKWA MAHAKAMANI.
n

Daylight dreaming. Hapa siyo maali pake
 
Ahahahah mzee wa jenosaidi. sasa sisi tukipiga picha za miji ya Tanzania si humu watu wataangalia siku nzima?
Sasa ako si ndo kigali tu? au na sehemu nyingine? rais sana kukavamia aisee. Tukajinyakulie watoto wa kitusi. Kama tulivyoingia Uganda enzi za Nduli Idd amin
Hii forum sio yako, IQ yako iko chini kabisa atleast nenda jukwaa la utani au celebrities
 
koba nimependa zaidi hospitali kuliko vyote. Napenda kujua ni vipi 99% wanakuwa insured. It is a very good thing.
 
RWANDA Mara 36 ndo eneo la tz! yet rwanda wana idadi ya watu robo ya tz

jawabu tz ni majimbo yaani huwezi kutawala Ngara toka Magogoni
 
Hii forum sio yako, IQ yako iko chini kabisa atleast nenda jukwaa la utani au celebrities

Ahahahha mzee wa jenosaidi. Hivi Rwanda kuna city ngapi? Maana kila siku nasikia kigali tu. Kigali yenyewe ni kama eneo la manzese kwa ukubwa....... Yaani mnajishaua nyie, du!
 
Kigali countr
Kigali-Rwanda.jpg
 
Mkuu Koba weka picha kadri ya uwezo wako wote lakini suala la kubadili katiba kwaajili ya mtu mmoja aendelee kushika hatamu za uongozi ni aibu nyingine ya Afrika.

Afrika inahitaji taasisi imara si watu imara.Ninapozungumzia taasisi imara ninaanza na katiba ya nchi kwanza inatakiwa kutoa uhuru kwa mahakama,bunge imara........... Ikiwa mpaka leo bado unashabikia uongozi wa Kagame elewa ipo siku Kagame ataondoka atake asitake lazima ataaondoka hapo ndipo utakumbuka umuhimu wa kuwa na taasisi imara
Nani kakuambia Rwanda haina taasisi imara? na jiheshimu mimi sio mshabiki wa mtu yeyote,Kagame is very president na practically wengi wanaona ndio maana I support the guy.
 
Kwa mujibu wa katiba ya Rwanda, rais wa nchi hiyo anaruhusiwa kugombea mihula miwili tu ya miaka saba kila mmoja. Rais wa sasa Paul Kagame anatumikia muhula wake wa pili ambao utamalizika mwaka 2017.

Sasa, Sheikh Fazil Harerimana, mwenyekiti wa chama cha PDI kilicho katika mseto unaounda serikali inayoongozwa na Chama cha RPF cha Rais Kagame, amejitokeza wazi na kutaka katiba ibadilishwe ili Kagame aweze kugombea tena.

Chanzo: DW

Kamwe, narudia kamwe, Kagame hatokaa akubali kuwa raia wa kawaida ndani ya Rwanda. Aidha ni rais wa Rwanda au hayupo Rwanda. Eti Kagame amwite mtu "Rais wangu...." Hiyo haitokaa itokee kamwe. Atakuwa tayari kujiua kuliko kuishi Rwanda ambayo yeye sio rais.
 
Halafu hako ka mji na tugrofa twake kadhaa mbona ni kama chuo kikuu cha Dodoma tu,
 
RWANDA Mara 36 ndo eneo la tz! yet rwanda wana idadi ya watu robo ya tz

jawabu tz ni majimbo yaani huwezi kutawala Ngara toka Magogoni

Hapa ndo huwa tunadanganywa et udogo wa Rwanda ndo kigezo cha wao kuwa juu yetu. Hiv ukubwa Wa nchi yetu umejumuisha bahar,madin,mbuga,gesi,mito,tanznite,misitu nk vimetusaidiaje walau kuwakimbiza Rwanda ambao rasmi nchi wameanza kuijenga baada ya vita, kwan ndan ya katiba watu walipendekeza tugawe majimbo wapuuzi wakapinga.

Jaribu kufika huko ndugu utashangaa iko populated lkn utaratibu umezingatiwa hakuna plastic bag, sunlg(pikipiki), kuingia kwenye daladala folen kama kwenye ATM za crdb level seat is observed speed ya dereva mwisho 60 inaweza kupita miez mitatu usisikie ajali.

Sis huku tunaambiwa nchi n kubwa lkn MTU anachukua contena la meno ya tembo anaenda kuuza, agiza gar uone kodi yake wakati kampun kibao zinasamehewa kodi. Tutadanganywa saana kwa ukubwa wa nchi wakati hata kubwa hatujafanya.
 
Back
Top Bottom