Zungu Pule
JF-Expert Member
- Mar 7, 2008
- 2,218
- 1,218
Mkuu heshima mbele. Hapa umegonga ikulu kabisa. Muungwana Zungu Pule..anataka kutuaminisha kwamba huko Yale..ndo wanauelewa wa matatizo yetu. Hii si sahihi. Huwezi niambia eti Professor wa Yale au Harvard atakuwa na analysis bora ya matatizo yetu kuliko sisi tunaoishi na hayo matatizo. Kama ulivyoainisha..tumewaona maprofesa wangapi..wakiandika volumes na volumes?...Ukweli ni kwamba....we need the Kagame`s of this world...take it or leave it, Kagame knows what he is doing na..anajua trick ya hawa wazungu. Wanakupa $$10M za kupambana na malaria..wakati wanaleta "technical experts" ambao watakula zaidi ya nusu ya hiyo hela. Kama Kabila anajenga barabara....jamani tahst what a common Mwananchi needs! Au mpaka WORLD BANK waje waseme kwamba huo mradi una manufaa? Duh..
Kama anavyosema Profesa ninayemheshimu sana..Thandika Mkandawire wa LSE...Its only Africa which has been condemned to develop while democratizing! Hakuna nchi popote pale ulimwenguni.....iliyowahi kuchanganya democrasia na maendeleo ikafanikiwa! Leo Kagame hata angefanya kipi kizuri kwa wananchi wake..watu watakwambia eti Rwanda hakuna uhuru wa habari....I think its high time..waafrika tujue priorities zetu..hii aina ya demokrasia ya magharibi..Itatulostisha tuu!
Unajua juzi nilikuwa nasoma ile report ya Brahimi yule mzee wa Algeria aliyekuwa mwakilishi wa Kofi Annan kule Afghanistan....aliambiwa na Kofi Annan afanye tathmini ya misaada kule..Guess what? Mzee anakwambia zaidi ya 90% ya hela zote zilizopelekwa na donors Afghanistan..zilirudi huko magharibi. Lakini hao hao wazungu..ukiwakuta wamekusanyika Intercontinetal London..wanakwambia eti we have pledged $50Billions for Afghanistan Recovery.....Go fgure..hiyo recovery itakuja ipatikane lini!
Hivi waafrika lini tutaamka na kuuelewa ukweli kwamba..AID is simply a ploy to keep the poor poorer?
So Brahim alimshauri Koffi Annan kufuta misaada inayokwenda Afghanistan kwa kuwa 90% inarudi huko magharibi? This is what you are missing. Aid is not working, fine. The solution is not to cut off aid. It's to make the aid work! And this is what Brahim was trying to do.
On the other note, hakuna mtu asiyejua matatizo yake. Wala sijasema hivyo. Wala hiyo siyo hoja inayojadiliwa hapa. Hoja hapa ni kwamba, umasikini tulio nao Afrika umesababishwa na misaada ya nje (Foreign aid is the cause of Africa's poverty). Inawezekana ni kweli. Njia pekee ya kujua kama ni kweli au la, ni utafiti ulioonesha kwamba hili suala ni kweli. Sikubaliani na madai kwamba eti kila kitu kiko wazi na kwamba huhitaji ushahidi kujua misaada ya nje ndio chanzo cha umasikini wetu. Na hii dhana kwamba tafiti nyingi sana zimefanyika Afrika unaitoa wapi? If you ask me, I would say Africa is the least studied region in the world. And this is because of the very same reason: lack of quality data! We are not investing much in data acquisition.