Paul Kagame: An African role model?

Kinachotusumbua Afrika ni Vision! Nimependa sana haya maneno
"We can only have ourselves to blame for our failures," he says. "We don't expect anyone to hand us any success or progress we hope to be making."That attitude makes Mr. Kagame a skeptic when it comes to foreign aid, which he faults for many of the world's ills. "It has created dependency, it has distorted the markets, it has detached people from their leaders and their values, it has created conflicts in some cases"
Ni viongozi wachache sana wenye mtazamo kama huu! Shame on us tuna rais ombaomba na nchi imegeuka ombaomba! with vyanzo lukuki vya mapato, ubunifu sifuri na mianya ya rushwa kutothibitiwa, kulindana uswahiba na ushikaji ndio vivyoliangamiza taifa hili!
 
Wapendwa wanyarwanda
najua muda umekaribia wa kupiga kura kwa ajili ya kuchagua rais mtarajiwa
wakati sie tanzania tunaenda kupiga kura kwa rais tusiejua amefanya nini kwa miaka mitano kwa upande wenu akuna asiejua maendeleo alioleta kagame ..akika kuanzia amani maendeleo ya kila sehemu biashara na kila sekta kwa kweli tumeona live ni man of vission
akika akuna kosa mtakalofanya kwa kutomchagua huyu bwana kagame

ewe mama baba ulie rwanada tafadhali nenda mpigie kura kagame tunawatakia kila la kheri
 
Yaani niko sirias kuna wanasiasa ukiwangalia unatamani kwa nini mungu akukuumba kwao
mmoja wapo ni huyu bana bana kagame jamani kwa walioangalia majuzi kampen ya kagame ana magari matatu tu ya kawaida jamani wakati ccm wametangaza kutumia billion 50 na serikali wakijua awazitumii zote hizi zikiingia mifukoni mwao akiwemo rais wetu kweli jamani Billion 50 watu wanakufa na uzazi muh mwananyamala temeke na kwingine nchini

kuna aja ya kuongozwa na rais kama huyu???nimefikia kujitoa ccm na kujiuliza ntajiunga na chama kipi kabla ya kuona juzi ile kampeni na jinsi jamaa anavyojieleza yuko kwa ajili ya wananchi kwa kwli natamani kujiunga na chama cha kagame kama kuna memba karibu tujulishane hata anipe kadi tuwe niwe nikimkumbuka huyu mwadilifu kwa nchi yake
 
Mkubwa, mimi sina utaalamu sana wa sheria, ila nafikiri Kikatiba hurusiwi. Maana hicho ni chama cha siasa siyo cha misaada kuwa kinaweza ku-operate hata nje ya mipaka ya Rwanda. Chama cha siasa kinatakiwa kifanye kazi kwenye siasa za nchi husika tu na wanachama wake wawe raia wa nchi hyo na siyo nje ya nchi. Hivyo unaweza kuwa mshabiki wa RPF kwa sera zao na siyo kuwa mwanachama maana kwa uraia wewe siyo Mnyarwanda.
 
Wasiliana na Koba kuhusu Rwanda. Lakini join Dr. Slaa, pamoja tunaweza. Usikate tamaa!
 
Kujiunga na chama chake itakuwa ngumu kwani wewe siyo Mnyarwanda, lakini pia hata ungeomba citizenship ya Rwanda itakubidi usubili miaka 2 ndo u participate kwenye siasa za Rwanda

Yaani niko sirias kuna wanasiasa ukiwangalia unatamani kwa nini mungu akukuumba kwao
mmoja wapo ni huyu bana bana kagame jamani kwa walioangalia majuzi kampen ya kagame ana magari matatu tu ya kawaida jamani wakati ccm wametangaza kutumia billion 50 na serikali wakijua awazitumii zote hizi zikiingia mifukoni mwao akiwemo rais wetu kweli jamani Billion 50 watu wanakufa na uzazi muh mwananyamala temeke na kwingine nchini

kuna aja ya kuongozwa na rais kama huyu???nimefikia kujitoa ccm na kujiuliza ntajiunga na chama kipi kabla ya kuona juzi ile kampeni na jinsi jamaa anavyojieleza yuko kwa ajili ya wananchi kwa kwli natamani kujiunga na chama cha kagame kama kuna memba karibu tujulishane hata anipe kadi tuwe niwe nikimkumbuka huyu mwadilifu kwa nchi yake
 
SAMSONMFALILA Nadhani hukuangalia vizuri. Baada tu ya Kagame kufika uwanjani kulikuwa na helikopta ya jeshi ikipita juu. Acha watu wa intelligence waliokuwa wamejichanganya na mkutano ule ambao ni kama robo ya umati ule ulio uona. Ukijumlisha vyote pamoja msafara wa CCM ni cheaper!!!
 
Mkubwa, mimi sina utaalamu sana wa sheria, ila nafikiri Kikatiba hurusiwi. Maana hicho ni chama cha siasa siyo cha misaada kuwa kinaweza ku-operate hata nje ya mipaka ya Rwanda. Chama cha siasa kinatakiwa kifanye kazi kwenye siasa za nchi husika tu na wanachama wake wawe raia wa nchi hyo na siyo nje ya nchi. Hivyo unaweza kuwa mshabiki wa RPF kwa sera zao na siyo kuwa mwanachama maana kwa uraia wewe siyo Mnyarwanda.

Kaka vipi kuhusu yale matawi ya ughaibuni? maana vipo vyama vinaelekea kuazisha viti maalum kwa ajili ya wanachama wao walio ughaibuni.
 
Samsoni,
Hivi hujui kuwa kuna tawi lake hapa Dar, au unapima upepo tu? Mtutsi yoyote haachi asili yake hata awe ''katibu mkuu wa CCM'' lazima atakuwa na uanachama wa RPF.

Tofauti na makabila mengine, mfano wengine asili yetu yasemekana ni Msumbiji kama kizazi cha tatu hivi lakini wala hatuna habari na kinachoendelea huko yaani hatuna mawazo na huko kabisa, tofauti na Watusi ambao hata kizazi cha tatu hapa Tanzania huendelea kujitambulisha kama Watusi ingawa babu zao walihamia toka huko
 
Mkubwa, mimi sina utaalamu sana wa sheria, ila nafikiri Kikatiba hurusiwi. Maana hicho ni chama cha siasa siyo cha misaada kuwa kinaweza ku-operate hata nje ya mipaka ya Rwanda. Chama cha siasa kinatakiwa kifanye kazi kwenye siasa za nchi husika tu na wanachama wake wawe raia wa nchi hyo na siyo nje ya nchi. Hivyo unaweza kuwa mshabiki wa RPF kwa sera zao na siyo kuwa mwanachama maana kwa uraia wewe siyo Mnyarwanda.
Mkuu natofautiana kidogo na wewe,je inakuaje huko UK - London,Reading etc. yanafunguliwa matawi mengi ya CCM ilhali hicho chama hakipo huko na wanachama wanaojiunga kuna warundi , wanyawanda, wasomali na watanzania wenyewe wenye uraia wa UK????Na wanapewa vyeo na viongozi wanatoka bongo kwenda fungua matawi???fafanua zaidi plzz.
 
MEDIA RELEASE
RwandAir takes delivery of its second Boeing 737-500
Carrier set to start operations into Kinshasa and Dubai via Mombasa. Johannesburg daily flights now possible.
August 20, 2010- Kigali- RwandAir today took delivery of its second Boeing 737-500 at a colourful ceremony held at the Kigali International Airport. The two class configuration aircraft (12 Business Class and 90 Economy) is the second to be acquired by the national carrier on dry lease agreement from leading aircraft lesser, General Electric Capital Aviation Services (GECAS). Its arrival marks the end of the initial stage of RwandAir’s fleet acquisition.
“I am pleased that we have successfully moved from previous wet lease arrangements to an owned and operated fleet”, said Rene Janata, CEO RwandAir. He further announced with the current fleet size, plans were underway to launch scheduled flights into Kinshasa and Dubai via Mombasa beginning October 2010. “The recent changes in our flight schedule were made to accommodate these new destinations we will be flying to and also create a network operation for better connectivity”, he added.
Speaking during the reception ceremony, Rwanda’s Minister for Infrastructure Hon. Vincent Karega said, “I am pleased the national carrier will be connecting Rwanda to the second port city of East Africa and also the Middle East”. He further expressed the Rwanda Government’s desire to build a viable airline, which is commercially profitable. RwandAir currently operates three flights to the port city of Dar es Salaam and will fly to Dubai via Mombasa four times a week.
The airline serves all East African community capital cities with daily flights and it flies to Johannesburg five times a week. The airline currently has a fleet of two Boeing 737-500, two Bombardier CRJ and a Dash 8 with two Boeing 737-800 joining the fleet in 2011. The carrier is aggressively growing its fleet to cater for its network expansion plans that will see it fly to more regional and intercontinental destinations.

For further information on RwandAir, please contact

RwandAir Corporate Communications
Phone: +250 252503687

Back
Top Bottom