Aliyekuwa mtendaji mkuu wa Atcl ameibuka na kusema kwamba Dr Mwakiembe alidanganya umma kutokana taarifa alizopewa kuwa ni za uongo na zisizokuwa na ukweli wowote.Kwa mfano uniform ziligharimu dola 18,000 tu na sio dola 50,000 kama alivyosema mwakiembe, Bwana chizi alisema pia tatizo ni kwamba kuna watu hawajui chochote kuhusu sekta ya anga lakini wanajiganya kuwa wanajua mbele ya umma.
Chanzo: The Guardian on Sunday
Angesema nini jana pale cdm square! Anajaribu kukisafisha chama ambacho kilisha oza kabisa cha kutupa.
Anajidahi kuwasafisha alaf wana mpoison.
Chizi anafahamu sana anachokifanya, ameharibu akubali, aondoke akapumzike.Mwakyembe amezungumzia gharama ya uniforms ni $49,900, tena amesama wazi. lakini chizi kwa usanii wake na huyo mwandishi wanazungumzia bei ya uniform ni $18,000. bei na gharama ni vitu viwili tofauti, sasa sitegemei CEO apindishe tafsiri kati ya bei na gharama.
hao precision air walinunua uniform kwa bei kati ya $ 200 na $ 600 kwa kila mmoja. ATCL hata kama wangenunua kwa bai kama ya precision air, gharama ya ATCL kwa uniform zao bado ni juu , kwani wao (ATCL) walituma wafanyakazi wao kwenda kununua na walitumia siku 45 huko, so maisha yao huko yanaingia ktk gharama ya uniform.je precision air nao walituma watu china kwa siku 45?, kama wangefanya hivyo, si precision air ingeshakufa?. chizi ni mtu mzima ameharibu akubali. baadhi ya waandishi wetu nao ni waandishi uchwara, wana ripoti bila kuchunguza na kutafsiri wanacho ripoti
Wakuu, nimejaribu kuyasoma maelezo ya Bw. Chizi, japo lugha iliyotumika inanipa shida sana kuna kitu nimeshindwa kuelewa. Hususan anaposema "the matter is that the amount of money used to purchase the uniforms in China late last year was $18,000 only out of the stated amount, as the remaining amount was spent on the purchase of other materials, stated Chizi.
Tatizo langu lipo katika hiyo rangi nyekundu, what on earth are these other materials which are not related to the uniforms? and why can't he mention them to justify his cleansing?
Naishia hapo misamiati imeniishia.
kwani hizo dola 18,000 ni kidogo? wakati shirika halina hata ndege moja? Tusiwaonee haya wahalifu kama hawa ni hatari kwa nchi yetu
Kama ingekuwa imemsaidia angekwenda Jangwani kujidharirisha?Kama aliyekanusha ana ushahidi basi Mwakyembe shule haijamsaidia au nitaamini kuwa hata ukiwa msomi na intergrity yako ukiingia CCM unakuwa juha .
Aliyekuwa mtendaji mkuu wa Atcl ameibuka na kusema kwamba Dr Mwakiembe alidanganya umma kutokana taarifa alizopewa kuwa ni za uongo na zisizokuwa na ukweli wowote.Kwa mfano uniform ziligharimu dola 18,000 tu na sio dola 50,000 kama alivyosema mwakiembe, Bwana chizi alisema pia tatizo ni kwamba kuna watu hawajui chochote kuhusu sekta ya anga lakini wanajiganya kuwa wanajua mbele ya umma.
Chanzo: The Guardian on Sunday
Aliyekuwa mtendaji mkuu wa Atcl ameibuka na kusema kwamba Dr Mwakiembe alidanganya umma kutokana taarifa alizopewa kuwa ni za uongo na zisizokuwa na ukweli wowote.Kwa mfano uniform ziligharimu dola 18,000 tu na sio dola 50,000 kama alivyosema mwakiembe, Bwana chizi alisema pia tatizo ni kwamba kuna watu hawajui chochote kuhusu sekta ya anga lakini wanajiganya kuwa wanajua mbele ya umma.
Chanzo: The Guardian on Sunday
Huyu chizi sasa anajibu kama chizi sasa hiyo dola 18,000 ni ndogo?? kwani wangeshona hizo uniform nchini isingewagharimu hela yote hiyo. Aache kutapatapa ukweli ndio huo watu kama hawa fukuza kazi peleka mahakamani filisi kila kitu warudi vijijini kulima KILIMO KWANZA kinawafaa sh....waini!kwani hizo dola 18,000 ni kidogo? wakati shirika halina hata ndege moja? Tusiwaonee haya wahalifu kama hawa ni hatari kwa nchi yetu