Kaliua urambo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 603
- 127
Huyu mwakyembe anasuuza roho za watanzania kweli kweli
Captain Lazaro pia yuko kwenye Aviation Industry tangu defunct East African Airways. Kwahiyo si mgeni kwenye aviation industry! Ninaamini anao uwezo mkubwa tu.Mizizi ya matatizo haitatatuliwa kwa kutaka misifa. Chizi anatoka kwenye aviation industry toka enzi za KIMAFA na Nundu. Kinachofanyika kwa wenye fani yetu, tunaona kama ni kuweka mkokoteni mbele ya punda. Anzia Ikulu hadi hapo wizara ya uchukuzi maamuzi yakitaalamu yanafanyika kisanii. Mbona Katibu Mkuu na kushindwa kwake kuiongoza secta ya uchukuzi haguswi? Jiulizeni ana taaluma gani na katokea wapi? Dokezo tu katokea Madini wakati JK ni waziri wa madini mengine jazia.
Hitimisho ni R.I.P ATCL kwa hasira za JK na mshika wake Mataka
Lusajo M Lazaro! M=Mwakyembe or any other Mwa....! Itakuwa huyu ndie kampiga jungu CHIZI
Captain Lazaro pia yuko kwenye Aviation Industry tangu defunct East African Airways. Kwahiyo si mgeni kwenye aviation industry! Ninaamini anao uwezo mkubwa tu.