Kwake yeye ni kwamba Watz hawawezi kumchagua Mpumbaavuuu na Lofa mwenziye. Mwenye sikio na asikie. Tatizo ni kuwa, UKAWA weshazoea matusi, vitisho na propaganda mfu ka hizo.
Mheshimiwa IGP, chunguza ufahamu na ujuzi wa Chagonja. Sidhani ka ana vigezo vinavyoweza kumpa cheo chake. Huenda ni "Kihiyo" huyu. Angalia na ukumbuke majibu yake; Mtu kauliwa na bonu la machozi Morogoro yeye anajibu kirahizi tu; Alipigwa na kitu kizito! Kamanda wa cheo hicho!Unatia aibu na huruma. Watu wameuliwa na bomu la kutupa kwa mkono, ati kwa sababu ni wapinzani, anasema; Chadema wanapenda tu kujilipua!! Ungekuwa weye IGP unawaza vyema, sidhani kama mpaka leo hii huyu angelikuwa kwenye ofisi za kuonekana kwenye media. Ni kaushauri tu, mweke pembeni analiharishia jeshi lako tukufu.