Paul Chagonja: Ni kawaida kwa timu ilioshindwa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Paul Chagonja: Ni kawaida kwa timu ilioshindwa...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Internal Control, Aug 26, 2015.

 1. Internal Control

  Internal Control Member

  #1
  Aug 26, 2015
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Kusingizia refa anapendelea haya maneno ameyasema alipoulizwa na mwandishi wa habari kuhusu jeshi la polisi kumzuia kipenzi cha wengi mgombea urais kupitia Ukawa Lwegainani Lowassa kuzuiwa kufanya ziara zake.
  Anamaanisha nini kusema Ukawa ni timu Ilioshindwa ilihali hata October 25 bado?

  Source:ITV HABARI
   
 2. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2015
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,900
  Likes Received: 3,653
  Trophy Points: 280
  Yaani Mimi napata hasira.... Sijui kwanini October 25 aijawa kesho. Huu ubabe una mwisho wake
   
 3. mdafanga

  mdafanga JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2015
  Joined: Apr 15, 2015
  Messages: 619
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Yule mzee chagonja wahovyo sana
   
 4. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2015
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,837
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Yaani nyie mkiambiwa hata ukweli hamtaki?
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2015
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,832
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  Hovyo sana huyu mzee, nadhani wameshakubaliana watatangaza ushindi kwa SISIEM kwa lazima
   
 6. m

  mangatara JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2015
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 10,808
  Likes Received: 6,628
  Trophy Points: 280
  Kwake yeye ni kwamba Watz hawawezi kumchagua Mpumbaavuuu na Lofa mwenziye. Mwenye sikio na asikie. Tatizo ni kuwa, UKAWA weshazoea matusi, vitisho na propaganda mfu ka hizo.
  Mheshimiwa IGP, chunguza ufahamu na ujuzi wa Chagonja. Sidhani ka ana vigezo vinavyoweza kumpa cheo chake. Huenda ni "Kihiyo" huyu. Angalia na ukumbuke majibu yake; Mtu kauliwa na bonu la machozi Morogoro yeye anajibu kirahizi tu; Alipigwa na kitu kizito! Kamanda wa cheo hicho!Unatia aibu na huruma. Watu wameuliwa na bomu la kutupa kwa mkono, ati kwa sababu ni wapinzani, anasema; Chadema wanapenda tu kujilipua!! Ungekuwa weye IGP unawaza vyema, sidhani kama mpaka leo hii huyu angelikuwa kwenye ofisi za kuonekana kwenye media. Ni kaushauri tu, mweke pembeni analiharishia jeshi lako tukufu.
   
 7. Ndalama

  Ndalama JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2015
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 8,191
  Likes Received: 5,143
  Trophy Points: 280
  Kwakweli hata mimi mwenyewe nimeshindwa kumwelewa anamaanisha nani kashindwa wakati hata uchaguzi bado?
   
 8. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2015
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 1,878
  Likes Received: 1,173
  Trophy Points: 280
  Polisi walikuwa wanakwenda watu waliofeli darasani, ni hiyo shida ya kazi vinginevyo ni kazi ya waliotupu kichwani!
   
 9. p

  phunter JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2015
  Joined: Sep 11, 2013
  Messages: 213
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dawa ni kum**** mtu
   
 10. Internal Control

  Internal Control Member

  #10
  Aug 26, 2015
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Leo chekelea unaona raha leo mkipita mtaani na jezi zenu mnazomewa tu yanaisha baada ya trh 25 wakichakachua itakua sio kuzomea tena itakua mnakula kipigo na hapo ndipo utakumbuka hii siku kushabikia ujinga
   
 11. P

  Prosoo JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2015
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 472
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Tena mtungo
   
 12. Ryaro wa Ryaro

  Ryaro wa Ryaro JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2015
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 2,663
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Huyu Ikiwezekana Asimame Kazi Mpaka Uchaguzi Upite Kwa Maana Anaonyesha Ni Mwanasiasa kabisa.
   
 13. Odhiambo cairo

  Odhiambo cairo JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2015
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 7,840
  Likes Received: 8,620
  Trophy Points: 280
  Ukweli ?!. Chagonja ana kura ngapi ?!
   
 14. Internal Control

  Internal Control Member

  #14
  Aug 26, 2015
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Sio kwa Tanzania mkuu labda Denmark
   
 15. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2015
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 5,021
  Likes Received: 699
  Trophy Points: 280
  Obesity mbaya sana inavuruga hata ufahamu
   
 16. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2015
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,837
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Mnawatukana ila kesho mnawaomba kukutana nao, ili iweje? ndo maana mnaitwa malofa nyie kwasababu hata mikakati hamna na Sumaye aliwachana live
   
 17. MUSSA ALLAN

  MUSSA ALLAN JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2015
  Joined: Oct 13, 2013
  Messages: 18,956
  Likes Received: 7,727
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nilisikia tamko lake yule, akili zake ziko makalioni.

  Mpumbavu sana yule!
   
 18. MUSSA ALLAN

  MUSSA ALLAN JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2015
  Joined: Oct 13, 2013
  Messages: 18,956
  Likes Received: 7,727
  Trophy Points: 280
  Ni kweli makalio yake yamekuwa makubwa kuliko akili yake!
   
 19. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2015
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,541
  Likes Received: 3,386
  Trophy Points: 280
  mpuuz sana uyo mtu
   
 20. Internal Control

  Internal Control Member

  #20
  Aug 26, 2015
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Nimesikitika sana
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...