Paul Chagonja: Ni kawaida kwa timu ilioshindwa...

May 3, 2012
73
37
Kusingizia refa anapendelea haya maneno ameyasema alipoulizwa na mwandishi wa habari kuhusu jeshi la polisi kumzuia kipenzi cha wengi mgombea urais kupitia Ukawa Lwegainani Lowassa kuzuiwa kufanya ziara zake.
Anamaanisha nini kusema Ukawa ni timu Ilioshindwa ilihali hata October 25 bado?

Source:ITV HABARI
 
Kwake yeye ni kwamba Watz hawawezi kumchagua Mpumbaavuuu na Lofa mwenziye. Mwenye sikio na asikie. Tatizo ni kuwa, UKAWA weshazoea matusi, vitisho na propaganda mfu ka hizo.
Mheshimiwa IGP, chunguza ufahamu na ujuzi wa Chagonja. Sidhani ka ana vigezo vinavyoweza kumpa cheo chake. Huenda ni "Kihiyo" huyu. Angalia na ukumbuke majibu yake; Mtu kauliwa na bonu la machozi Morogoro yeye anajibu kirahizi tu; Alipigwa na kitu kizito! Kamanda wa cheo hicho!Unatia aibu na huruma. Watu wameuliwa na bomu la kutupa kwa mkono, ati kwa sababu ni wapinzani, anasema; Chadema wanapenda tu kujilipua!! Ungekuwa weye IGP unawaza vyema, sidhani kama mpaka leo hii huyu angelikuwa kwenye ofisi za kuonekana kwenye media. Ni kaushauri tu, mweke pembeni analiharishia jeshi lako tukufu.
 
Kusingizia refa anapendelea haya maneno ameyasema alipoulizwa na mwandishi wa habari kuhusu jeshi la polisi kumzuia kipenzi cha wengi mgombea urais kupitia Ukawa Lwegainani Lowassa kuzuiwa kufanya ziara zake.
Anamaanisha nini kusema Ukawa ni timu Ilioshindwa ilihali hata October 25 bado?

Source:ITV HABARI
Polisi walikuwa wanakwenda watu waliofeli darasani, ni hiyo shida ya kazi vinginevyo ni kazi ya waliotupu kichwani!
 
Yaani nyie mkiambiwa hata ukweli hamtaki?
Leo chekelea unaona raha leo mkipita mtaani na jezi zenu mnazomewa tu yanaisha baada ya trh 25 wakichakachua itakua sio kuzomea tena itakua mnakula kipigo na hapo ndipo utakumbuka hii siku kushabikia ujinga
 
Mnawatukana ila kesho mnawaomba kukutana nao, ili iweje? ndo maana mnaitwa malofa nyie kwasababu hata mikakati hamna na Sumaye aliwachana live
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom